Yaaan ndoa imenishinda asee

Chunguza kama hana ujauzito tena
 
Kama kichwa cha habari kinasema wadau

Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Acha kutuchora
 
Shida inaonekana iko kwako maana hata ulivyowasilisha dai lako ni kivivu na kinyonge sana. Sasa mwanamke hataki mwanaume mvivu au mnyonge
 
Siku nyingine kabla hujaanzisha uzi kuwa makini huu umekaa kiulegelege sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…