inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,582
ni kuchafuana tu kusiko tija..wanasema bila ushahidi kisha wanamuacha mwenyewe na tuhuma zake ahangaike nazo..Mara anakula Mara analiwa. hvi MTU alianza kuliwa kitambo anaweza kuwa na nguvu za kubukiri tigo!?..au hamuijui tigo mpya ugumu wake!?Hajahukumiwa ameonyeshwa yaliyo maovu kwa yeye akiwa kiongozi wa kiroho kuoa na kuacha sio vizuri kwa kiongozi wa juu hayo mengine huenda wameyatoa wale alioshiriki nao kwani hayafanyiki hadharani