Ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe

Ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe

Hata viongozi wa dini wanatenda dhambi, si wakamilifu kama unavyofikiri ww mtoa mada, ila kama umemuangalia kwa muonekano wake huyo shehe ni msafi kweli
Who am i to judge another? nimebainisha haki yake pamoja na shutuma nyingi zilizotupwa dhidi yake
 
Unajua bwana, binadamu huwa anapatiwa mitihani na mola wake ili tu apimwe IMAAN na kupandishwa DARJA ila kinachotakiwa ni SUBRAH tu.

Innallah A'laa Kully Shayin Qadiyr.
Na iwe hivyo
 
Mimi nasubri timizo la mkwara wake, akishndwa kutimiza, bas ataonekana mzugaji. Kwanza kisasi ni dhambi na mungu hana ushrika na shetani. Na ili mungu askilize mashtaka yako ni lazma kwanza uwe msafi wa matendo na mwili..

Sasa ukisema unamshtaki mtu kwa mungu, amhukumu aliyekuibia nguo wakat wewe pia ni mwizi, mungu hawez kukusaidia isipokuwa tu kama utatubu dhambi zako.

Hii ndyo principle.

Na ndiyo biblia inakataza kumhukumu mtu kama wewe syo msafi.

Hvyo bas, visas huskilizwa na shetan, syo mungu.
 
Hajahukumiwa ameonyeshwa yaliyo maovu kwa yeye akiwa kiongozi wa kiroho kuoa na kuacha sio vizuri kwa kiongozi wa juu hayo mengine huenda wameyatoa wale alioshiriki nao kwani hayafanyiki hadharani
 
Ijumaa hii nitawahi mstari wa mbele msikitini kwake huenda akatolea ufafanuzi juu ya shutuma hizo.
 
Njia pekee ya kumtetea ni kukaa kimya
 
Nne, hayo matendo ambayo Sheikh wetu anasingiziwa kuyafanya kwa wake zake yanafanywa na wana JF wengi tu humu ndani ambao wako au hawako kwenye ndoa.

Nilikusoma vizuri ila ulipofika hapo pa kusema atii anasingiziwa umeniumiza moyo kweli kweli. Kwa nini umtetee?? Wacha ajibu mwenyewe au hao wakeze waliosingiziwa kuwa nao wanaupenda huo mchezo. Usimtetee aliyelianzisha mwenyewe naye akiwa hai. Mbona hukusema kuwa naye aliyatishia maisha ya Mange?? Acha fahali wapambane
 
Nne, hayo matendo ambayo Sheikh wetu anasingiziwa kuyafanya kwa wake zake yanafanywa na wana JF wengi tu humu ndani ambao wako au hawako kwenye ndoa.
Duh, Wewe utakua uko sayari nyingine aisee, maana humu ndani hatufahamiani (tulio wengi) kiasi cha kujua hizo tabia, wewe umajuaje kuwa tuko hivyo?
 
Ya sheikh yanaisha muda si mrefu mama usipitwe anakaribia kuibuka na bifu jipya
26872423_177664409631869_7433523121522475008_n.jpg
 
Kwa kuwa anasapoti uovu wa ccm na serikali acha asulubiwe tu ndo haki yake hiyo
 
Nilikusoma vizuri ila ulipofika hapo pa kusema atii anasingiziwa umeniumiza moyo kweli kweli. Kwa nini umtetee?? Wacha ajibu mwenyewe au hao wakeze waliosingiziwa kuwa nao wanaupenda huo mchezo. Usimtetee aliyelianzisha mwenyewe naye akiwa hai. Mbona hukusema kuwa naye aliyatishia maisha ya Mange?? Acha fahali wapambane
Mkuu naomba nitumie maneno anatuhumiwa badala ya kusingiziwa
 
Duh, Wewe utakua uko sayari nyingine aisee, maana humu ndani hatufahamiani (tulio wengi) kiasi cha kujua hizo tabia, wewe umajuaje kuwa tuko hivyo?
Naomba nikiri hilo pungufu, nimebadilisha maneno nakusema yanaweza yakawa yanafanywa na baadhi yetu hum ndani, lugha ni ngumu. Yamkini ujumbe umefika
 
Shekhe wa Bakwata ameyakanyaga, apeleke upuuzi wake huko Lumumba. Sisi wa Waislam hatuitambui Bakwata kama baraza la Waislam bali ni Tawi la CCM linaloongozwa na Wachumia tumbo. Mmoja wao ni huyo Shekhe ubwabwa
Sema mimi kwa nini huwa mnapenda kuwasemea na wengine?
 
MIMI NASUBRI TIMIZO LA MKWARA WAKE, AKISHNDWA KUTIMIZA, BAS ATAONEKANA MZUGAJI. KWANZA KISASI NI DHAMBI NA MUNGU HANA USHRIKA NA SHETANI. NA ILI MUNGU ASKILIZE MASHTAKA YAKO NI LAZMA KWANZA UWE MSAFI WA MATENDO NA MWILI.. SASA UKISEMA UNAMSHTAKI MTU KWA MUNGU, AMHUKUMU ALIYEKUIBIA NGUO WAKAT WEWE PIA NI MWIZI, MUNGU HAWEZ KUKUSAIDIA ISIPOKUWA TU KAMA UTATUBU DHAMBI ZAKO.

HII NDYO PRINCIPLE.

NA NDIYO BIBLIA INAKATAZA KUMHUKUMU MTU KAMA WEWE SYO MSAFI.

HVYO BAS, VISAS HUSKILIZWA NA SHETAN, SYO MUNGU.
Sema kwa imani yako kisasi ni dhambi ila kwengine kisasi ni haq by the way wewe ni nani hadi umpangie Mungu dua ya kuipokea.
 
Hajahukumiwa ameonyeshwa yaliyo maovu kwa yeye akiwa kiongozi wa kiroho kuoa na kuacha sio vizuri kwa kiongozi wa juu hayo mengine huenda wameyatoa wale alioshiriki nao kwani hayafanyiki hadharani
Umo miongoni mwa majahil
 
Back
Top Bottom