Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,553
Mh Mwigulu hatunae tena kwenye ulingo wa siasa. Ni kama strategies zake za 2020 zimemponza . Amewahiwa na kukatwa mkia fasta.
Sasa tugange yajayo. Kwako Ndg. January Makamba.Waziri na mbunge wa Bumbuli kupitia CCM…
Jitahidi sana sana kuzama zaidi jimboni kwako kwa wananchi wako. Kuwa karibu sana na vijana na walalahoi wako wa Jimbo la Bumbuli . Hao tu ndo pona yako. Usawa huu hauangalii nani ametoka wapi na kwa nani. Usawa huu si wa kuzoeana ovyo.
Punguza sana kasi unayokwenda nayo kwa ajili ya 2020. Be very strategic. Safu unayoipanga kupitia taasisi fulani tafadhari kuwa mwangalifu sana. Vijana wako macho hawalali na nyie. Mnakokwenda wao wameamkia huko na unakotoa mguu wao wanatia maguu.
Be calm January Makamba. Acha papara. Fanya kazi ya uwaziri na ubunge uliyotumwa. Mengine waachie wenyewe.Acha tamaa kabisa. Watakula kichwa !
Aisiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Nimemaliza.