Vita ya Urais yahamia kwa January .
Kwanza kabisa hongera comred January Makamba kwa kushinda ubunge bila kutumia nguvu kubwa,pamoja na kuwa ulikuwa umejikita zaidi kumvusha Mgombea wa ccm lakini ulishinda ubunge,hii inatoa tafsiri kuonyesha ni kwa kiwango gani unaaminiwa na kukubalika kwa wananchi wako wa Bumbuli.
Tangu wakati wa uchaguzi,pamoja na kuwa wana ccm wengu walipambana kuhakikisha Magufuli anashinda lakini Matusi ,Kejeli,vijembe na kila aina ya lugha ya kuvunja moyo ilitolewa na wapinzani ikimlenga January Makamba.
Ile hali ya wapinzani kumshambulia Mwigulu na Lusinde awamu hii ilihamia kwa January.
Kwanini mashambulizi yawe kwa January?
Baada ya ukawa kuangalia mwelekeo wa kampeni,waliona kila dalili ya kupata ushindi,wana ccm wengi waliishiwa pumzi na kuendelea kufanya siasa za kizamani,lkn kila mara January alikuja na mikakati iliyogeuza upepo.
January alikuwa ndio bingwa wa mikakati ya kutibua kila mbinu ya ukawa.
January ndiye aliepanga advance team ifanye nini ili mkutano ufane.
January ndie alikuwa king of Media kuhakikisha Mgombea wake anapata coverage kubwa.
January alikuwa mtu hatari kwa upinzani.
Lowassa na timu yake waliendelea kuwatumia wana ccm Mamluki waliokuwa ndani ya ccm kuwavujishia juu ya umakini wa January katika kutibua move za Ukawa.
Hatimae Magufuli akashinda,Ukawa bado wanaamini kuwa January Makamba ni mtu aliewakosesha ushindi kwa kutomuunga mkono Lowassa.
Hasira za Ukawa na wafuasi wao sasa kila wakiamka wanamuota January Makamba.
January kaingia kwenye vita kubwa mithili ya mtu aliewakosea sana kuliko hata waliopanda majukwaani na kumkashifu Lowassa.
Ukawa wamekuja na plan B kuhakikisha wanamchonganusha January na viongozi wa ccm.
Kuhakikisha January anakosana na viongozi .
Kubwa zaidi kuhakikisha magufuli anamchukia January ilo apotee kisiasa kisiasa.
Kwa maoni yangu ,pamoja na vijembe matusi na kashfa zinazotengenezwa dhidi ya Kijana
Mwenzangu mwenye matarajio makubwa ya kisiasa.
Bado naamini kuwa ,January ni hazina ya Tanzania,nikijana atakae saidia sana serikali ya awamu ya Tano hasa kipindi ambacho sayansi na teknolojia nimuhimu katika uendeshaji wa serikali.
Wakati ambao niwakizazi cha kuhoji.
Wakati ambao wanatakiwa vijana kuandaliwa kwaajili ya kushika uongozi huko tuendako.
January usikate tamaa,
Ukiona wapinzani wanakulaumu basi ujue upo sahihi,ongeza gia mtoto wa Makamba,wapuuze wote wenye fikra za kukubomoa kisiasa kama kisasi cha kuukosa Urais.
Rais ni John Pombe Magufuli,hutaki hamia Somalia.