Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Hata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
Naam.. Tanzania inahitaji wanaume dizaini yako.. Wanaume aina ya MC Pilipili wanaturudisha nyuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!

Ila bhana mi sishangai kabisa kwa hili lililotokea! Back in the days niliwahi kupotelea kwenye Instagram account ya MC Pilipili! Mi sina tatizo kabisa kwa mwanaume kuonesha upendo kwa demu wake manake mi ndo zangu hizo! Hata hivyo, ambacho nilikiona kwa MC Pilipili ile siku sio kuonesha upendo bali ilikuwa kama ulimbukeni fulani hivi... ulimbukeni wa kupata demu mkali!!

Nilimsamehe baada ya kuijua historia yake!

Hapo ndo nikaja kuukumbuka ulimbukeni wa Mlugaluga mmoja ambae tulikutana nae Visiwani... siku kagonga masalia ya Kiburushi basi ikawa taabu tupu, wakati kwa visiwani ni kawaida tu; ni kama kugonga Msomali ndani ya Eastleigh!!
 
mnhhhhhh kwa nini unalazimisha watu(wanaume ) wafanane??kila mtu ana upbringing tofauti,personality tofauti,experiences za Maisha tofauti..values za mwanaume A haziwezi kufanana na mwanaume B,sababu malezi sio kama kitabu/manual Fulani kila mzazi ni lazima awe nacho na akifate kanuni zake katika kulea...
Naona unalazimisha gametiuke kufanana na gametiume katika usawa wa tabia kama vile wewe ndiye unayetujua vzr sana Wanaume kuliko sisi wenyewe tunavyojijua kiuhalisia wa tabia zetu.

Kwani ww ndiye uliyetuumba hadi ulazimishe tuwe wa kulialia kama ninyi Wanawake?

Wewe ni ubavu wa Mwanaume tu, usitake ufanane kila kitu na aliyekutangulia kuumbwa sababu hujui kipi alichofinyangwa nacho Adamu tokana na udongo alipoumbwa na Mungu.

Na hata Biblia ilishakueleza kuwa Mwanaume kaumbwa kwa utukufu wake Mungu bali wewe uliumbwa kwa utukufu wa Mwanaume.

Please and please don't try to transform natural white colour to be translated into black colour appearance, it will never ever happen forever and always.

Alicholilia MC Pilipili ni ujinga kabisa ambao haujaleta picha nzuri hata kwa Wakwe zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ushaliwa hadi na mashoga?

Endelea kujifariji kama KUNGWI ajifanyaye anajua kuwashauri wanandoa namna ya kuishi pa1 ilhali yeye mwenyewe hukuweza kuishi ktk ndoa hata ndani ya miaka miwili tu.

Dume anabakia kuwa dume tu, la sivyo uumbe Wanaume wako wataokuwa na vinasaba vya kike sawa na huyo MC Pilipili asiyejitambua.
Wanaume suruali hujulikana tu kimatendo kutokujiamini ku dharau wanawake ndo wanafiki urijali kumbe hata shoga anasimamisha mfyuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinipangie hii open forum mbona wewe una comment kwa raha zake siku disturb if ur a real thinker argument ni jambo la kawaida na sio la kushangaa. So mind ur business mie mjuaji wewe mbulula mbona yamrkushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ume catch feelings bibie, mie nimeuliza very gently why giving a very harsh response aisee? Ofcourse i know its a free platform ila why untukane sasa?
 
mnhhhhhh kwa nini unalazimisha watu(wanaume ) wafanane??kila mtu ana upbringing tofauti,personality tofauti,experiences za Maisha tofauti..values za mwanaume A haziwezi kufanana na mwanaume B,sababu malezi sio kama kitabu/manual Fulani kila mzazi ni lazima awe nacho na akifate kanuni zake katika kulea...
Ndio maana kuna mimi na mc pilipili. Ur very right! Ila mwanaume anaeishi kinyume na standards za kiume anashangaza
 
Naona unazidi kujifariji sana kama vile nawe umeanza kuwa Dume la mbegu kwa kutetea ujinga ili uwe unaliliwa liliwa na Mumeo kama kitoto kuchanga.

Pole sana kulelewa na wazazi vimeo wasiojua mipaka yako katika kuelewa utofauti wako ww na Mumeo kitabia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wangu wako perfect asilimia zote na kamwe even my daddy hana mambo ka yako ya kuumini mfumo dume eti ndo uanaume hayuko hvo. Wewe blame society iliyokulea vibaya kwa kuamini uanaume ni kuvumilia mateso na kutoonesha hisia ndo mana huwa mnakufa siku si zenu kwa kuweka vtu mioyoni.

Mume wangu akilia Kuna shida gani sasa yeye ni binadamu Ana hisia so sishangai sipendi binadamu asiye na hisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho nishangaza kwenye video huyo mtarajiwa wa Mc pilipili hata kujiliza na yeye kinafiki tu yaani macho makavu atapata tabu sana, video ukiangalia anaonekana yeye anafosi ndoa.
 
Back
Top Bottom