Kimanelike
Member
- Jan 14, 2011
- 28
- 7
Sina hakika kama dhana ya "market Failure" niliyoitaja hapo unaielewa vema. Nimesema kuwa kwa sasa jamii ya kiislam haiwezi kucheza na market force katika elimu ndani ya nchi hii kutokana na ukweli wa kihistoria, hili usibishe, sijui umri wako ni upi au unajua vipi kuhusu nchi yako. Uelewe kuwa Ni kweli mfumo wa utawala wa kiarabu haukujenga misingi ya ushindani wa elimu uliopo sasa duniani(Integrated secular education system) badala yake jamii ya kiarab ilijikita katika mfumo wa biashara asilia ambao kwa sasa ni non applicable- Wazungu walipotawala Nchi hii, hawakuweka mfumo wa elimu unaowaunganisha wote, kwa maana elimu ilinasibishwa zaidi katika u-seminari za kikristo(kumbuka agents of colonialism). Hali hii iliwagawa waislamu katika nmna tatu (wapo waislamu waliokuwa na imani mbili tofauti-wakiwa shuleni waliitwa john, na wanaporudi kwao wanaitwa Ali 2) wapo waliobadili dini kabisa, na wapo waliokataa makundi yote hayo. Kumbuka imani ni suala la moyoni ndio maana linakuwa gumu kulishughulikia kwa kwa vile hakuna mtu anayejua uzito wa imani ya mwingine. Matokeo yake baada ya Uhuru tayari kulikuwa na mgawanyo wa elimu kati ya waislamu na wakristo. Bahati mbaya sana pamoja na Nyerere kulijua hili(rejea maamuzi yake ya kutaifisha seminari), Serikali yake ilifeli kutoa huduma hii ya elimu ya pamoja kwa ufanisi kwa kuwa tayari jamii moja ilishakuwa mbele kuliko nyingine. Hivyo kukawa na bomu lililoachwa ambalo watawala waliamini halitalipuka. Bahati mbaya nyingine ukaingia mgongano wa ki-utamaduni ambao usingelitokea iwapo Nyere angehamisha kweli Makao makuu ya Serikali Dodoma(yataka uwe na akili sana ili ubaini hili). Kwa kuwa Serikali imebakia Dar es Salaa(pwani) nguvu ya ushindani wa rasilimali za maeneo ya pwani na biashara iliwatoa nje ya mchezo watu wa pwani kwa kuwa tayari wao walikuwa hawana elimu kushindana na washindani walioiva toka shule chini ya mfumo wa elimu ya dunia. Hii ilisababisha ardhi yote iliyokuwa ni ya kilimo kwa watu wa maeneo ya pwani kutwaliwa kama maeneo ya makazi ya watumishi wa Serikali na umma waliotoka maeneo ya mlima. Filamu ikawa inaendelea kwani hawa watu wa pwani ambao wengi wao ni waislamu wakapoteza vitu vitatu (Elimu, Biashara na Ardhi) hivyo no way kama wanaweza ku-survive tena. Ndipo nikasema hapa tayari kuna "market failure" hivyo Serikali iingilie kati tu. Na ili hali isizidi kuwa mbaya Serikali haraka ihamie Dodoma ili kupunguza economic pressure katika maeneo ya pwani pia iwe na programme niliyoitaja. Jaribu kufikiria mtu wa leo ikiwa hana elimu, hana ardhi, na hawezi kufanya biashara ataishije? Fikiria sasaiv Bakhresa anatawala soko la (Maembe, Mananasi, Chungwa, Apple nk) maana yake ni kwamba baada ya muda mfupi hakutokuwa na wanaojiita wafanyabiashara wa kule kariakoo, Buguruni, Tandika wa Maembe, Machungwa, apple, limao, watermellow, nyanya nk). Kwa walioweza ushindani (well educated people ambao wengi ni wakristo) wao ndo walionunua maeneo makubwa ya ardhi Bagamoyo, Kisarawe, Kigamboni, Mkuranga, Kibaha ambao sasa wanalima mazao haya. Je wataenda wapi hawa 'wafanyabiashara wa kariakoo, buguruni Tandika niliowataja? Think big ndugu yangu. Nitaendelea....Ndgu mchango wako umekosa mashiko kidogo kuna baadhi ya mambo ilipaswa uyaangalie kwa undani kidogo,
Moja ni malezi ya familia kwa muislam yakoje kwani hili limesabisha kwa watoto wengi wa familia za kiisalam kukosa haki za msingi kama hiyo elimu na familia chache zilizo staarabika na kuelimika ndizo zinafikia mafanikio na watoto wao kuwa na maisha mazuri
Hili mara nyingi linasabishwa na Mzazi mmoja kuwa na familia kubwa pasipokuwa na uwezo wa kuimudu kwani kwa maisha ya sasa kila kitu ni gharama katika kugharimikia familia na watoto kupata elimu bora na utofauti katka hili ni kama ulivyoeleza katika kipengele kimoja hapo juu ni kuhsu uchumi kwani nchi za kiarabu ambazo zina waislamu wengi serekari huwa wanatoa huduma zote kama elimu,afya na mitaji bure kitu ambacho hapa kwetu hatuna na kuna chama kilikuja na sera za elimu bure kikapandkiziwa udini nakusema haiwezekani kutoa elimu bure na hili la uchumi na elimu bure ni tatizo la kila mtu sio la waislam tu.
La pili ni kujiuliza kwanini hizi islamic seminary zinshindwa kufanya vizuri kwni kwenye usahihishaji mitihani inasahihishwa kwa namba na sio jina na wasahihishaji ni wa Dini zote,hebu tujaribu kuangalia wenzentu wanafanyaje kama ni walimu bora na mishahara nasisi tuweke na kama kutafuta cream kwa kujiwekea percentage kwa mwanafunzi anaefikisha alama zilizowekwa anaendelea a asiefikia anashauriwa atafute vyuo vya ufundi au kitu kingine mbadala na sisi tufanye hivyo ila tukumbuke kuwa katika yote msingi mzuri unaanzia shule za awali,pia ya tupasa kujua katika katika baadhi ya hizo seminary za wasiokua waislam na waislam wanaruhusiwa kusoma
La mwisho kwa mtazamo wangu waislam tujishughulishe na kuacha kulalamika tunaonewa na kama kuna haki inayopindishwa kwa sababu ya uislamu wetu mbona vyombo vya sheria vipo, na kama ukihitaji kila mali kwenye utawala awepo muislam hebu tujiulize lengo letu ni nini? Kumbukeni asili yetu hatukua na dini haya yote yameletwa na wazungu na waarabu, ndugu zangu waislam tudumishe mshikamano wetu tuachane na mambo yanayotaka kuvunja mshikamano wetu
Mtoi na kundi lako, nadhani umemezeshwa propaganda zinazoenezwa na maadui juu ya lile tukio. Waislamu si wajinga kama mnavyotaka watu wafikri. Issue ni kuwa baada ya mama mmoja wa kiislamu kuripoti hii habari ya kokojelea masahafu kwa mama wa ' bedui'. Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'
Hiki ndicho chanzo cha kadhia nzima ambacho watu hawataki kukizungumza badala yake wanalilia guitar na 'whisky' zilizomwagwa altereni!
Dharau za hawa ndugu zako hazivumiliki, hata humu JF unaona mwenyewe, wako hivyo!
Endelea nao, lakini ufahamu walivyo!
Shukran sana kuiweka kitu hii maana ndio mara ya kwanza nasikia ama kuona Muislaam akifanya kitendo hiki..Nimezoea kuona watu wakiwafanyia waislaam tu na inasema ni freedom of expression.. Lakini tazama jinsi swala lenyewe lilivyoweza kuthibitiwa within no time. Sikia hotuba za viongozi wa dini ukilinganisha na kwetu au hapa JF..Nimesoma mahala ya kwamba yule mtoto wa Mbagala kakojolea Msahafu siku ya Jumatano na vurugu zimekuja tokea Ijumaa, kati ya siku hizi sisi tulifanya nini..yaani siku zote wazazi na viongozi wetu walikuwa wapi?..walikuwa wakisubiri nini haswa kitokee..Muslim boys urinated on a Bible, in **Australia**.
See here, from 'The Australian', 2006.
Cookies must be enabled. | The Australian
Muslim boys urinated on Bible
CAMERON STEWART From: The Australian December 06, 2006 12:00AM
TWO Muslim students have been expelled from an Islamic school in Melbourne for urinating and spitting on a Bible and setting it on fire.
The explosive incident has forced the East Preston Islamic College to call in a senior imam to tell its 650 Muslim students that the Bible and Christianity must be respected.
Anxious teachers at the school have also petitioned principal Shaheem Doutie, expressing "grave concern" about an "inculcation of hatred and radical attitudes towards non-Muslims" at the school, including towards non-Muslim teachers.
The Bible desecration took place last week at a school camp held near Bacchus Marsh, about 50km west of Melbourne, attended by 33 teenage Muslim boys ranging in age from Year7 to Year 10.
A school report of the incident, obtained by The Australian, says it happened late at night and involved three students and another two watching.
The main perpetrator (a Year 7 student) urinated on the Holy Bible, tore some pages from the Holy Book and burnt them then finally spat on the Holy Book," the report says.
The second boy, from Year 9, "tore pages from the Holy Book and burnt them", while a third student, from Year 7, "tore pages from the Holy Bible and then he rolled it up like a cigarette and pretended to smoke it".
The boys come from a variety of ethnic Muslim backgrounds -- one is believed to be an Albanian/Malaysian, another Lebanese and another Indonesia...".
The Muslims had to go into full-on 'damage control' mode, because some of the non-Muslim teachers employed at the school, blew the whistle not so much about the Bible vandalism, as about a general attitude of contempt toward non-Muslims.
But worth noting that no Christian mobs went looking for mosques to burn.
Shukran sana kuiweka kitu hii maana ndio mara ya kwanza nasikia ama kuona Muislaam akifanya kitendo hiki..Nimezoea kuona watu wakiwafanyia waislaam tu na inasema ni freedom of expression.. Lakini tazama jinsi swala lenyewe lilivyoweza kuthibitiwa within no time. Sikia hotuba za viongozi wa dini ukilinganisha na kwetu au hapa JF..Nimesoma mahala ya kwamba yule mtoto wa Mbagala kakojolea Msahafu siku ya Jumatano na vurugu zimekuja tokea Ijumaa, kati ya siku hizi sisi tulifanya nini..yaani siku zote wazazi na viongozi wetu walikuwa wapi?..walikuwa wakisubiri nini haswa kitokee..
Bila shaka mkuu wangu na hata ukiniuliza marais waliokuwa wabovu kuliko wote basi nitaanza na Mwinyi, Mkapa na JK..Hata sakata la Richmond tunamlaumu Lowassa japokuwa JK ndiye rais, this guy is the King maker hilo lazima tulifahamu na mwalimu alimshitukia mapema sana, Pasipo Lowassa tusingekuwa na JK..Mkandara, jmushi1, Jasusi, Sikonge,
..Mzee mwenzangu Mkandara nadhani ktk hoja yako humtendei haki Lowassa. Mimi naamini lawama kuhusu suala hili lazima pia ziende waliokuwa mabosi wake, ambao ni Raisi Alhaj Ally Mwinyi, na Mzee John Malecela.
..pia watekelezaji wa MOU hiyo walikuwa mawaziri wa Fedha, Afya, na Elimu, wa wakati wa utawala wa Alhaj Mwinyi. sasa sijui kwanini hao hawabebi lawama zozote zile.
..unajua suala kama la MOU ni lazima lijadiliwe ktk BARAZA LA MAWAZIRI. sasa ktk vikao hivyo mawaziri wa sekta husika--ELIMU,AFYA,na FEDHA, hutoa maoni kupinga au kuunga mkono hoja. sasa ingependeza kujua mawaziri hao walikuwa ni kina nani, na siyo kumbebesha mzigo wote wa lawama Mh.Edward Lowassa kwasababu ya dini yake tu.
..naomba tuangalie suala la timeline toka kuwepo kwa wazo la MOU, majadiliano baina ya serikali, makanisa, na nchi wafadhili[Wajerumani walikuwepo], na mwisho utiaji saini. Nina hakika suala hili Mh.Lowassa alilikuta limeishaanza na yeye alimalizia tu baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu.
NB:
..kwenye utaifishaji shule za madhehebu ya dini tunaambiwa Nyerere alifanya.
..sasa kwanini ktk kurudisha shule hizo hatusemi aliyefanya hivyo ni Alhaj Alli Hassan Mwinyi, badala yake inasemwa ni Edward Lowassa??
Mkandara, Jasusi, Nguruvi3,Bila shaka mkuu wangu na hata ukiniuliza marais waliokuwa wabovu kuliko wote basi nitaanza na Mwinyi, Mkapa na JK..Hata sakata la Richmond tunamlaumu Lowassa japokuwa JK ndiye rais, this guy is the King maker hilo lazima tulifahamu na mwalimu alimshitukia mapema sana, Pasipo Lowassa tusingekuwa na JK..
Mkuu wangu nitakwambia yale nayoyasikia ya kwamba hata Al Haj Mwinyi hakujua sakata zima limechezwa vipi kama alivyobambikwa TTCL. Kuna watu wanasema hata Mwinyi mwenyewe aliwahi kuulizwa akasema This is above me, na watu wasifikiri kuwa yeye rais basi ndio anaamua kila kitu -(The Free Mason). Toka hapo yeye na Nyerere mahusiano yakawa mabaya. Selewi kama kuna ukweli ktk haya japokuwa binafsi yangu naamini Rais ndiye mtu wa Mwisho mwenye mamlaka makubwa kulinganana Katiba.. Je, kuna System nyuma ya kila Utawala inayomweka rais kutokana na kuilinda? hilo sijui...Mkandara, Jasusi, Nguruvi3,
..but can u tell me kwanini Raisi Alhaj Alli Mwinyi hatajwi kabisa kwenye hili suala la MOU? Badala yake anayetajwa ni Lowassa kana kwamba he was some rogue Minister acting on his own??
..mwisho, kwanini mpaka leo basi hatumjui waziri aliyehusika na suala la utaifishaji wa shule na hospitali wakati wa utawala wa Raisi Nyerere. Mimi ningependa kumjua Waziri huyo ili tumpe sifa au lawama zake.
jokaKuu,Mkandara, Jasusi, Nguruvi3,
..but can u tell me kwanini Raisi Alhaj Alli Mwinyi hatajwi kabisa kwenye hili suala la MOU? Badala yake anayetajwa ni Lowassa kana kwamba he was some rogue Minister acting on his own??
..mwisho, kwanini mpaka leo basi hatumjui waziri aliyehusika na suala la utaifishaji wa shule na hospitali wakati wa utawala wa Raisi Nyerere. Mimi ningependa kumjua Waziri huyo ili tumpe sifa au lawama zake.
Mkandara, Jasusi,Mkuu wangu nitakwambia yale nayoyasikia ya kwamba hata Al Haj Mwinyi hakujua sakata zima limechezwa vipi kama alivyobambikwa TTCL. Kuna watu wanasema hata Mwinyi mwenyewe aliwahi kuulizwa akasema This is above me, na watu wasifikiri kuwa yeye rais basi ndio anaamua kila kitu -(The Free Mason). Toka hapo yeye na Nyerere mahusiano yakawa mabaya. Selewi kama kuna ukweli ktk haya japokuwa binafsi yangu naamini Rais ndiye mtu wa Mwisho mwenye mamlaka makubwa kulinganana Katiba.. Je, kuna System nyuma ya kila Utawala inayomweka rais kutokana na kuilinda? hilo sijui...
Haya yote ni maswali ambayo sina majibu ila yana raise questions nzito sana. Mwinyi alikuwa bogus na simpendi kabisa hasa ktk swala la Marehemu Sheikh Kassim ambaye alipingana tu na Bakwata wakafikia kum Kolimba halafu lawama akapewa Mrema.. Ni yale yale maendelezo ya utawala ambao hatujui undani wake..Mkandara, Jasusi,
..that is very interesting ukizingatia muda ambao mchakato mzima ulichukua.
..je, mawaziri wa afya, elimu, fedha, na mambo ya nje[ubalozi wa ujerumani ulishirikishwa, pamoja na mkuu wa usalama wa taifa, nao hawakuwa na habari??
..sasa kama Alhaj Mwinyi hakujua, then what did he do baada ya hapo. MOU ilisainiwa mwaka 1992 mpaka anaondoka 1995 alichukua hatua gani?
..Mwisho, kwanini mahusiano ya Nyerere na Mwinyi yalikuwa mabaya baada ya MOU. Je, Nyerere ambaye alitaifisha shule na mahospitali alichukizwa na kusainiwa kwa MOU?