Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

Mkandara, Jasusi, maggid,

..sasa nikirudi kwenye hii mada husika, naomba nigusie hoja moja ambayo uliitoa.

..nakumbuka ulisema kwamba kijana wa miaka 14 au 16 anajua nini anafanya.

..mimi nakubaliana na hoja yako, lakini nadhani pia vijana wa umri huo mara nyingi hawana busara ya kujua madhara ya kitu wanachofanya.

..kwa uelewa wangu ktk umri huo vijana huwa very defiant, na watu wa kupenda kujiona wamekuwa, na hupenda kujaribu vitu mbalimbali.

..nikikumbuka ni katika umri huohuo ambapo vijana huanza mambo kama uvutaji sigara[kubwa na ndogo], hujaribu pombe, wasichana, na kwenye nchi za wenzetu ndiyo unakuta mambo kama gangs, guns, etc etc.

..kwa maoni yangu huu mgogoro ulipaswa kushughulikiwa kwa mtizamo huo. kwamba hawa ni vijana wawili vichwa maji waliokuwa ktk mabishano.

..pia tunapaswa kuhoji wazazi wa vijana wote wawili walishughulikia tatizo hili namna gani. kwanza ni huyo aliyefanya kosa kubwa na kukojolea msahafu. pili ni aliyefanya kosa dogo kwa kuchukua msahafu na kuutumia ktk mabishano yasiyofaa.

..mwisho, mabishano ya hao mabwana wadogo ni reflection ya mambo tunayoyafanya watu wazima siku hizi. wakati mimi na wewe tunakuwa sidhani kama mabishano ya Uislamu vs Ukristo yangeweza kutokea.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wangu nakubaliana na wewe 100% na kama ulinisoma vizuri nilisema pia kwamba yule kijana ni Victim wa system ya maisha tunayoishi na hata wale wajinga walokwenda kuchoma makanisa ni matokeo ya sisi wenyewe tulowafunda na kuujenga uhasama huo. Hawa ni watu wanaosubiri tu cheche ziwashwe halafu wafanyize maana maisha tayari yameisha washinda. Tumeshindwa kuwapa elimu bora tumeshindwa kuwapa mtaji wa maisha hivyo watu kama hawa hukimbilia last option ya kimaisha - IMANI ya dini na ndio mwokozi wao wa MAISHA na sio kiroho alobakia..

Mkuu wangu sidhani kama mwanangu anaweza hata siku moja kudiriki kukojolea Biblia ama kuukashifu Ukristu kwa sababu ya malezi nilompa na mazingira alokulia. In fact anasoma Biblia na namsaidia ktk tafsiri ya sura ambazo sisi Waislaam tunatofautiana na Wakristu. Ni Tafsiri tu ktk biblia ndio inatutenganisha na Ukristu lakini hata ktk sala sisi waislaam huanza na Surat fatha na Wakristu husema ile sanla ya baba yetu aliye mbinguni, Ufalme wako ufike na..Muislaam asiyeamini Injil ya yesu sii Muislaam, kwa hiyo vitabu vyetu ni matoleo tu kulingana na wakati..

Lakini unapoona mtoto wa miaka 14 akifikia kukojolea Kuruan halafu watu wanasema ilikuwa ubishani wa vijana ambao mmoja kasema ukikojolea Kuruan utageuka Mjusi..Jua hapa hata wazazi wenyewe ni Wajinga!...Ina maana hata yule wa kwanza hakufunzwa (Mjinga) kwa kupewa habari ya Uongo ili yeye apate kuiheshimu Kuruan...na hata sisi tumepitia hayo utotoni tukicheza mchezo wa nitukanie mama yangu!.. Mtu anachora msitari anawafanya mnapigana hadi wazazi nyumbani wanakosa amani lakini panoja na hayo hatupitia kuidharau dini ya wengine. Kazi kubwa ya Nyerere kuondoa Ujinga imekufa na sasa tunaendeshana wajinga wa pande mbili.

Kisha nasikia swala hili lilitokea toka Jumatano, wazazi wa huyo mtoto na viongozi wa dini walichukulia kama jambo dogo na mchezo wa watoto..Kufikia Ijumaa yale majibu walopewa kila wanaposhtakia yakachemsha baraza na wahuni wakapata sababu - DHARAU. Kama watu wangeomba radhi na pengine kumsema vibaya yule mtoto ili asirudie kufanya kitendo kile haya mambo yangeishia palepale lakini ile dharau tulokuwanayo baina yetu ndio kilichowasha moto huu..

Haya nimeyaona siku hizi toka Mwinyi kuingia Madarakani hayakuwepo wakait wa mwalimu. Maswala ya dini yametushinda na kwa bahati Mbaya Ubepari unaweza tu kufanya kazi ktk society ambayo haina makundi ya Kibaguzi. Kama kuna Ubaguzi wowote Ubepari hauwezi kufanya kazi na lazima utazua makundi ya kijamii ktk umaskini na Ujinga, chuki inajichomeka na watu kuanza kujigawa ktk makundi ya mafanikio.

Tunakoelekea kubaya sana, watu wamekosa kuheshimiana na wanaonyesha dharau hapa JF hata ktk maandishi yao. Kuna wakati huwasoma watu humu JF waislaam kwa wakristu na kusema sasa tumefikia ukingoni mwa amani. Sio swala la Sheikh Ponda tena maana hata yeye ni miongozi mwa watu wenye hasira isipokuwa yeye anajitokeza tu mbele ya kadamnasi kama anavyofanya Dr.Slaa. Haina maana Dr.,Slaa ni mchochezi wa mageuzi nchini, hapana anachukua ya watu na kuyasemea.. watu wengi wanayataka mageuzi sema hawana Ujasiri na nguvu ya kusimama kama Dr.Slaa au Zitto..Kwa hiyo hili sii swala la Dr.Slaa na Chadema isipokuwa huyu anawakilisha mawazo ya watu wengi sana na hata akiondolewa kesho atakuja Dr.Slaa mwingine. ndivyo ilivyo kwa Sheikh Ponda kwa hiyo ni muhimu tuwasikilize, tujadili na tuone wapi tulikosema ama tuweke mfumo gani ambao utarudisha amani na Umoja wetu Kitaifa..
 
Mkandara, Jasusi, Nguruvi3,

..but can u tell me kwanini Raisi Alhaj Alli Mwinyi hatajwi kabisa kwenye hili suala la MOU? Badala yake anayetajwa ni Lowassa kana kwamba he was some rogue Minister acting on his own??

..mwisho, kwanini mpaka leo basi hatumjui waziri aliyehusika na suala la utaifishaji wa shule na hospitali wakati wa utawala wa Raisi Nyerere. Mimi ningependa kumjua Waziri huyo ili tumpe sifa au lawama zake.
Mkuu Joka kuu, unajua kujenga hoja kwa kulazimisha na si mantiki huzua maswali magumu kujibika. Kwa hili nitakwambia wazi kuwa hutasikia Kawawa akitajwa popote katika historia ya Mohamed Said. Niliwahi kumuuliza na jibu ni kuwa 'huyo tumwache kwanza'. Kwahiyo Mwinyi na JK hutawasikia sana kwasababu hoja za wale wanaolazimisha haziruhusu kutwajwa kwao ili zisimame 'katika ukweli'.

Mfano wa pili, utasikia kadhia ya mabucha ikimhusisha Mwinyi kwa neno serikali hata Mohamed Said ndivyo alivyoandika. Maana nzima si kusema ukweli kama ulivyo ni kuunga unga habari ili zi-fit hoja tarajiwa.

Miezi michache iliyopita Kadhi wa Yemeni alikamatwa na Polisi Bagamoyo. Mada nzima juu ya kadhia ni kuhusu Polisi na serikali, cha ajabu, kwa upuuzi wa Mohamed Said Nyerere alishirikishwa! Ilitungwa hadithi ili kumtaja Nyerere.
Miaka 14 tangu afariki na 25 tangu aondoke madarakani, bado kunwa watu ambao akili zao zinawatuma Nyerere anafanya kazi kutokea kaburini Mwitongo.

Tulipomuuliza Mohamed Said kwanini Nyerere na si JK, alikimbia hakurudi tena. Anajua kuwa ni uchochezi tu uliotamalaki katika nafsi yake, kiu ya vurugu na umwagaikaji wa damu ili apate kuuza vitabu.

Ukisikia mtu anajenga hoja na kuhusisha vitu vingine maana yake ni kuwa hoja yake haisimami yenyewe hadi iwekewe uzio wa mabua.

Mwinyi hawezi kukwepa lawama za MoU na hapo ndipo wanaodhani ni kitu kibaya walipaswa waanzie.
Mwinyi alikuwa Rais aliyeunda serikali kwahiyo dhamana ya kila jambo ipo mikononi mwake.
Alijua hilo na hakufanya kitu! Kwahiyo kumsota kidole Lowasa ni yale yale ya kutafuta mahali laini pa kupiga na kukwepa ukweli.

Kuhusu waziri aliyehusika katika utaifishaji wa shule, hilo hutaweza kuambiwa. Sababu kubwa ni kuwa waziri husika alifanya kazi chini ya Waziri mkuu Marehemu Kawawa. Hapo utagusa ukweli ambao usiowalazima.

Mkuu Mkandara,
Labda nikuulize kuwa kwanini sheria nyingi duniani zinawalinda watoto 1-14 hata wanapokuwa na makosa?
Pili,Endapo kitabu kitakatifu cha Korani kingenajisiwa(hilo lisitokee, huu ni mfano tu) na mtu aliyeitwa Mchamboa Semangube Zomboka, unadhani busara ipi ingetumika kufikia suluhisho? Naomba busara zako as always
Tatu,je, kuchoma nyumba za ibada kunaweza kutoa suluhu ya kudumu ya tatizo, na je ni njia muafaka kwa busara za kidini na kidunia.
 
Wasomi wa Tanzani walianza tuangusha kihistoria kwa mara ya kwanza walipochanganywa na pesa za mwarabu ,huku wakiwa desperate kutafuta hero wa kiafrica aliyepiga West.Walijikuta wakifanya kazi mbaya na ya kijinga ya kuwaiata akina Mkwawa, mirambo baadaye Mirambo, Kinjekitile Ngwale kuwa mashujaa.Kilichofichwa hapo ni majina kamili ya hao watu na imani zao hadi wanakufa.Hii ndio dhambi ya kwanza na inayowapoa kiburi waislam kuwa hao watu walikuwa mashujaa.Ila hao watu walipigana na kuwaua wamissionary na si hata wazungu mabepari.Sasa wanakwenda kwa Nyerere,na wataendelea sana kadiri wanavyoweza manipulate media na historia na wasomi hewa wetuw anaochanganyiw ambona,kwa mgongo wa ubepari, sijui n aubaguzi wa palestina.

Niliweka article JF kueleze wapi saikubaliani na ushujaa wa mkwawa na fikra za mwambao,Ilifutwa fasta na ban juu.
 
na mimi nashauri tuwalee watoto wetu kwa kuwaambia ukweli,waislamu kwa wakristo.
watoto wa siku hizi ni wadadisi na akili zao hazikubaliani na vitu vya kufikirika.
ukimwambia mtoto kuwa mtoto ananunuliwa hospitalini ujue akili yake haitatulia mpaka amedhibitisha.
ukimwambia ukichana biblia utakuwa wa bluu na kwa sababu hajawahi kusikia wala kuona mtu wa bluu atajaribu.

TUWE MAKINI NA WATOTO.
Hii nimeipenda sana kwa nini ufundishe neno la mungu kwa kudanganya?inakuwaje watu wa mungu wanakuwa waongo,huko si kumtendea dhambi Mungu,dini ifundishwe kwa kuelewa na sio kwa kutishia kuwa eti ukifanya hivi ,kutatiokea mlima wa moto,hayo mambo ndio yanatupa shaka ya hao wanaojiita waalimu wa dini kama kweli wanaelewa wanachokifanya au ndio kufanya kwa mazoea,kwa ufundishaji huu si ajabu Al Shaababu inapata vijana wengi kwa kudanganya kuwa wataenda peponi kwa kujilipua ,naamini yyule kijana angefundishwa kuwa kile ni kitabu kitakatifu tu na kiheshimiwe asingemtisha mwenzake kuwa atageuka nyoka.
 
Mtoi na kundi lako, nadhani umemezeshwa propaganda zinazoenezwa na maadui juu ya lile tukio. Waislamu si wajinga kama mnavyotaka watu wafikri. Issue ni kuwa baada ya mama mmoja wa kiislamu kuripoti hii habari ya kokojelea masahafu kwa mama wa ' bedui'. Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'

Hiki ndicho chanzo cha kadhia nzima ambacho watu hawataki kukizungumza badala yake wanalilia guitar na 'whisky' zilizomwagwa altereni!

Dharau za hawa ndugu zako hazivumiliki, hata humu JF unaona mwenyewe, wako hivyo!
Endelea nao, lakini ufahamu walivyo!
Kwa hiyo dawa ni kwenda mitaani na kuchoma makanisa sio,na je wakristo nao wachome misikiti pale wanapoambiwa Yesu si mwana wa Mungu,ugomvi wa watoto unaingiaje kwa waislamu wote ,mbona tumeona mengi wanayofanya waislamu dhidi ya wakiristo na hatujaona wakiristo wakiingia mitaani na kufanya vurugu?dini yenye vurugu si dini bali ni kufuru kwa Mungu!shauri yenu mnaoshabikia ujinga siku ya siku kutakuwa hakuna cha mwislamu wala mkiristo vita haichagui dini
 
Mtoi na kundi lako, nadhani umemezeshwa propaganda zinazoenezwa na maadui juu ya lile tukio. Waislamu si wajinga kama mnavyotaka watu wafikri. Issue ni kuwa baada ya mama mmoja wa kiislamu kuripoti hii habari ya kokojelea masahafu kwa mama wa ' bedui'. Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'

Hiki ndicho chanzo cha kadhia nzima ambacho watu hawataki kukizungumza badala yake wanalilia guitar na 'whisky' zilizomwagwa altereni!

Dharau za hawa ndugu zako hazivumiliki, hata humu JF unaona mwenyewe, wako hivyo!
Endelea nao, lakini ufahamu walivyo!
Wewe nawe ndio kweli endeleeni kushabikia huu upuuzi. watakaoumia ni watu wa dini zote atakuwepo mama yako dada yako shangazi yako mjomba wako etc. sisi sote ni ndugu nani alikuja akasema dini fulani ndio ya kweli..UPENDO ndio dini za madhehebu yote..wewe unashabikia kama vile si Mtanzania angalia Middle East kinachowakuta kwa nini tunashindwa kujifunza na hii mifano. Ndugu zetu waislamu msidanganyike.
 
Ningependa nikusahihishe kama ifuatavyo;

*Kijana aliyekojolea Quran tukufu inaelezwa alikuwa ana umri wa miaka 12 kwa mujibu wa report ya polisi, vyombo vya habari na mahakama.

*Hakuna mahali popote kwenye uislam panapofundisha kuwa mtu akiidhalilisha Quran tukufu atageuka mnyama, kufa au kuwa kichaa.(Yule mtoto wa kiislam alikuwa anapotosha na kusema uongo kwa kumuhusisha Mwenyezi Mungu na jambo ambalo Mwenyezi Mungu hajalisema, kiislam huu ni sawa na ushirikina)

*Uislam haufundishi watu kufanya mizaha, kuthubutisha au kufanya majaribio kwenye Quran tukufu.
(Yule mtoto wa kiislam alipaswa kuadhibiwa kisawasawa na waislam kwani tunaamini anayajua hayo na alipaswa kuepusha yasitokee, na yule kijana wa kikristo alipaswa kufundishwa na kuonywa maana tunajua hajui nini maana ya Quran tukufu na mafundisho ya uislam kwa usahihi wake)

*Si sahihi kabisa kabisa kwa waislam kutaka kuamsha ghasia siku za leo kupitia matukio yoyote kwa kisa cha kudai waliwahi kuonewa siku za nyuma.(Kufanya hivyo hakuwezi hata sikumoja kuujenga uislam wa kweli, zaidi kutaleta uadui mkubwa na visasi)

MY TAKE
1/Wale watu wote waliofanya ghasia mbagala sio waislam sahihi, kwa kuwa uislam ni dini ya amani na masikilizano.

2/Hakuna mahali popote kwenye uislam panapotamka kuwa maadui wa waislam ni wakristo.[/QUOTE]

Concrete:
Umetoa ufafanuzi mzuri sana wenye hekima. Maelezo yako ni ya kujenga watanzania. UBARIKIWE
 
Wale wanaopigana Libya, Syria na nchi nyingine za kiislamu sio kwa sababu ya udini. Siamini kama uislam unafundisha chuki, kudharauliana ua kukosa utii kwenye Mamlaka zilizopo. Tukumbuke chanzo cha ngoma ni lele, kuna watanzania wanaona wivu na kutamani yanayotokea kwa wenzetu kama Pakistan, Afghanistan, Syria, Libya, Misri, Congo DRC, Nigeria na kwingineko. Tukumbuke itakapofika wakati chuki imetamalaki miongoni mwetu hata jeshi haliwezi tena kutulinda wala kuheshimu sheria kwani chuki tulioianza ni mbaya, mbaya mbaya, udini umejificha moyo mwetu, hata hao polisi wakianza udini tutafika mahali wanadola watauana wao kwa wao kabla ya kuja kuwaua ninyi! Yule aliyeuliwa kule Zanzibar kisa analinda amani ili muishi kwa raha na wanenu kosa lake nini? Huyo sio wa dini fulani? Je, lipi kosa kuu, kuidharau kitabu cha mungu au kuua mwenzio?!Tutakari sana haya hakuna aliye na dini isiyomtaja Mungu lakini dini ya kweli ni Upendano!
 
Hapa Wakuu, piga ua galagaza! "sitakuja niuamini uislamu!" Hasa kwa lugha hii tamu ya carrot na fimbo!
 
Mimi kama ningekua rais leo, shekh Pona, shehk Farid and the likes wangekua either uhamishoni au behind bars for the rest of their life uwezi kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa
 
TUngekuwa na Waislamu japo 10 ya Mjengwa hapa Tanzania, hakika nchi ingekuwa ya maana sana. Huyu ana akili. Si hawa wanaoleta vurugu. Swali kwa Mjengwa: Yule aliyekojolea Kuran kafikishwa mahakamani, je, yule aliyempelekea Kuran mbona kaachwa?

Mwitongo,
Asante sana. Nimesoma maoni yote kwenye thread hii. Bahati mbaya nimechelewa kutoa mrejesho kwa haraka. Vingenevyo, nimevutiwa na jinsi wengi walivyovutwa na mada hii na hata kuchangia fikra zao, za kuunga mkono na hata kupingana, kwa hoja.
Hii ni Nchi Yetu. Naamini kama Watanzania tutashiriki kwa pamoja kuijenga na kuwaandama wale wote wenye kutaka kututenganisha na hata kutogombanisha kwa misini ya Udini, Ukabila na rangi.

Kwa mara nyingine, nawashukuru nyote mliochangia mada hii na mnaoendelea kuchangia kwa fikra.
Siku Njema.
Maggid Mjengwa,
Iringa.
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 
Mjengwa umesema vizuri sana, lakini bado kuna jambo la kujiuliza kwanini fujo za dini yako ziko Mombasa, Nigeria, Mali na maeneo mbalimbali duniani? Lakini naamini mungu hakuumba watu wauane. Aumbe yeye halafu mwanadamu aue.
 
Hakuna justification yeyote ya kufanya vurugu kwa kosa la yule mtoto,hawa waislam lazima wajue sio kila mtu anaamini na kufuata dini yao,na nchi inaongozwa kwa sheria za nchi sio uislam,huyo mtoto sheria za nchi ndio zimhukumu na sio sheria za kiislam,hao waliofanya vurugu kamata wote peleka court na wape fair trial,ila ni vizuri kuzungumzia hili swala kitaifa maana hapa kuna tatizo kubwa kuliko ninavyoona ila waislam wajue Tanzania haina SHARIA LAW...na jamani this boy is only 14!!!!!!
 
Hoja kama hizi za kina Mjengwa huwa zinzkuwa wapi kabla ya matatizo? Zingesaidia sana kuondoa giza machoni pa wengi
 
Wasomi wa Tanzani walianza tuangusha kihistoria kwa mara ya kwanza walipochanganywa na pesa za mwarabu ,huku wakiwa desperate kutafuta hero wa kiafrica aliyepiga West.Walijikuta wakifanya kazi mbaya na ya kijinga ya kuwaiata akina Mkwawa, mirambo baadaye Mirambo, Kinjekitile Ngwale kuwa mashujaa.Kilichofichwa hapo ni majina kamili ya hao watu na imani zao hadi wanakufa.Hii ndio dhambi ya kwanza na inayowapoa kiburi waislam kuwa hao watu walikuwa mashujaa.Ila hao watu walipigana na kuwaua wamissionary na si hata wazungu mabepari.Sasa wanakwenda kwa Nyerere,na wataendelea sana kadiri wanavyoweza manipulate media na historia na wasomi hewa wetuw anaochanganyiw ambona,kwa mgongo wa ubepari, sijui n aubaguzi wa palestina.

Niliweka article JF kueleze wapi saikubaliani na ushujaa wa mkwawa na fikra za mwambao,Ilifutwa fasta na ban juu.
Nicholas,

..Mkwawa, Mirambo, na Kinjeketile, walianza kutambuliswa zamani sana kama mashujaa wa Tanganyika.

..kumbuka kwamba kuna shule, vyuo vya elimu, viwanja vya michezo, etc vilivyopewa majina ya baadhi ya viongozi hao.

..hivi karibuni, tena hapahapa JF, kuna hint fulani ililetwa ambayo inanifanya mimi niamini kwamba historia ya Mkwawa, Mirambo, Kinjeketile, etc inapaswa kufanyiwa uhakiki.

..kwa upande mwingine, kuna maandiko mengi sana yanayowahusu watawala hao yako ktk mataifa ya nje na sisi wa-Tanganyika hatuna habari nayo.
 
Nilibahatika somasoma hayo mambo ila sikuweza compile materials ila ni same reasons zinazofanya watu wamuinue sana Malcolm-X ktk historia ya Black ili kuwapa watu fulani base ya uanamapinduzi na ukombozi wa Mtu mweusi, wala si Martin Luther King.Ndio maana Leo black wanaomfuata Martin Luther king wanaendesha maisha yao kwa amani na ustaarabu,wamewekeza katika elimu,na hawana case za ubakaji,ila hawa wanamzimia Malcolm-X,wanapewa amani sana wanapowabaka makundi fulani,wanaabudu vilolence kama malcolm-x mwenyewe ambaye pia aliuwawa na watu wake.

Ten years from now Mwalimu atakuja pingwa sana ili aondoke ktk public sphere ingawa ktk yetu wanaweza kuwepo watu wengi sana waliishi na mwalimu.Ila kunakuwa na mashinikizo mengi sana ya kumfuta.Mbaya mwalimu atafutwa na Wavaa misuli na Mabepari ,huku watanzania wenye elimu duni watakuwa wakisiliza wenye kelele kali na hivyo kujikuta wakiwa confused kama hao wabongo walipo Nje wanavyobeba vi theory visivyo rasmi.

Mkwawa amekufa akiongea na kuandika kiarabu safi,kawaachia watu wake mavazi ya watwana,siku hizi ngoma za iringa zinzoitwa za jadi zina element zote za kigeni tena watumwa.Hawa jamaa waliuza sana watumwa kwa vile waliwaona watu wao na jamii jirani kuwa makafir.Katika hizoria za Nchi kuna kisemwacho kuwa baadhi ya machief wakishirikiana na wageni kufanya raids vijiji n ahimaya nyingine ilia kupata watumwa.Mkuwa was real good kuteka vijiji vingine.Wenzake wa Kilosa(Ndipo chimbuko la waarabu wengi sana tunaowaona mjini leo) nao walikuwa wazuri sana kwa hiyo biashara.

Siku Zaja mashujaa wetu wataandikwa upya, upya kabisa tunajua patakuw ana upinzani sana ila miwshowe yatasemwa.Zanzibar wamefuta hata historia ya kanisa kununu watumwa na kuwaachia huru.Yote haya yamefanywa kwa kusuppress na kubadili historia.Kuwafanya wazanzibar wajinga kabisa ili wasiweze ona vitu vilivyo wazi kabisa.Sasa wanachoma makanisa bila jijua.Ukiw ana dar siku fulani tembelea Pugu angalia kwanini wale wamisionary walikwenda kule.
 
Mtoi na kundi lako, nadhani umemezeshwa propaganda zinazoenezwa na maadui juu ya lile tukio. Waislamu si wajinga kama mnavyotaka watu wafikri. Issue ni kuwa baada ya mama mmoja wa kiislamu kuripoti hii habari ya kokojelea masahafu kwa mama wa ' bedui'. Yule mama alijibu kwa jeuri 'si makaratasi tu hayo'

Hiki ndicho chanzo cha kadhia nzima ambacho watu hawataki kukizungumza badala yake wanalilia guitar na 'whisky' zilizomwagwa altereni!

Dharau za hawa ndugu zako hazivumiliki, hata humu JF unaona mwenyewe, wako hivyo!
Endelea nao, lakini ufahamu walivyo!

uzungumze nini sasa wakati kweli ni makaratasi yenye maandishi na yanateketetea kama mengine?Yanaoza na kutupwa jalalani waislam kama kawaida,wanapiga mabomu na kulipua misikiti mara nyingi tuu duniani,nayo ikiangamia ndani.Mbona huwa hakuna wa kualumu hilo?Watu wanazinunu halafu baada ya kuzisoma wanagundua kuwa dini hii haifai wanaamua tupa au kuzichoma sasa sijui ina link gani na muislam mwingine?Kwani mtu anachoma au kutupa hela yake.

Hawa akina Maggid na Mtoi,wanafanya kazi hiyo hiyo ya ugaidi kwa kuwapoza walioadhirika na si kuwafunda waliofanya na wanaoendelea fanya haya.Wana fanya soft Jihad.Kwa ujumla inaudhi sana kipimo ch ahaki cha waislam kwa wasio waislam ni aibu kabisa.Hivi ndivyo hata waarabu ambao hawajawahi omba dunia msamaha kwa unyama wa utumwa bado wana guts za kusema kuwa uislam ulimkomboa mtu mweusi?Kwa fikra hizi ni ngumu sana uislam ukafikia hata minimum requirements za haki za binadamu.

hakuna muslam mwenye busara za kujua kuwa makosa haya ni ya waislam na uislam kwa ujumla.Chuki zilizokuwa zikihubiriwa miaka yote hakuna aliyeona ni kibaya,leo uharibifu na ugaidi huu unalindwa kwa sababu mfu.Si mika mingi waislam walikuwa wakifanya uovu duniani kwa sababu duni sana kama "kwanini israeli inaikalia palestina?".Sasa hivi blah blah,za kuenda pigania nyumbani kwa mwingine ni ushenzi wa hali ya juu.Maggid na mtoi wametimiza kazi yao ya soft jihad.Kupotosha makafir ili kulinda hawa waovu,huku akiwa hana cha kushawishi reward kwa huyu aliyeingiliwa na walioshindwa fanya fujo huko kwao.

Mtoto wa kiislam si wazi alikuwa na umri sawa au mkubwa kuliko mwenzie,na alichokuwa akifanya ni kumtisha baaa ya kushindwa mshawishi anunue idea ya uislam.Sasa kama dogo kashindwa upamba uislam na njia aliyotuma bado haikumshawishi dogo ni haki kuthibitisha kuwa hii dini ni ya uongo.Kwanza kwa waosmi humu ndani walipaswa jifunza mengi sana kw ahuyu dogo.Walipaswa ona mwanzo mpya wa kifikra.Naona wanajituma badilisha kitu ambacho miaka yote hakikuwezekana.Uislam hauwezi kwenda na dunia.Na waislam ndivyo wanavyozidi kupata wakati mgumu kulinda na kuficha mapungufu na vitu vya hovyo vya hii dini.Mkafiri ndio wanapata hasara za hovyo sana.Kila blunder ya uislam inahalalisha hooligans wafanya wafanyavyo.Sasa imefikia mahali kila hooligan wa kiislam akijisikia kupat aumaarufu wa kigaidi au hata kuwashwa na majinn yanayotaka damu basi kuchukua sabbau ya kizembe tuu na kufanya uahribifu.Juzi tuu walichoma makanisa kwa wanachokiita mamabo ya muungano.Sasa serikali na kanisa vinausika vipi?

NI roho ovu tuu ndio zina tabia ya kuwahi fanya fujo kabla kosa halijatafutiwa suluhu.Ni waislam tuu ndio wanaowahi kutenda uovu kabla suluhu haijapatikana kwa vile ndicho walichokuwa wakisubiri kwa hamu.
 
Back
Top Bottom