Ya Maalimu Seif na Kuanguka kwa Mawaziri na UKAWA kuelekea kupata zaidi ya majimbo 165

MABADILIKOOOOOOOOOO LOWASAAAAAAA.huyu mtu noma kaongea dk 5 tu lumumba wooote wanatetemeka asa hv je angeongea dk 30 si hatareee
 
Haa ha ha Ben Saanane ebu taja hayo majimbo yapo wapi maana matokeo tumeishayaona yamebandikwa kwenye vituo na tunajua kujumlisha.
Haya yametochululiwa rasmi toka CCM NA YAMETANGAZWA

Babati Mjini
Babati Vijijini
Moshi Vijijini
Siha
Tandahimba
Muleba Kusini
Bukoba Mjini
Vwawa
Tunduma
Ukonga
Temeke

Niendelee?
 
Mkuu mbona kama tumezidiwa!? Najifariji tu na Maalimu kwani niliombea sana ashinde japo nikaishi Zanzibar kuliko miaka mitano tena ya CCM.

Ndio haswa lengo la kuvamia na kufunga tallying centre, kunyima information. Then kuwaandaa ki psychologia ili muone mmeshindwa. Muda huo huo wakiruhusu CCM kutangaza matokeo yao feki...Usiku huu wafanye yao..
 
NEC watangaze matokeo kama yalivyo vituoni.

Wakienda kinyume chadema itafanya kama Cuf walivyofanya Zanzibar.

Mnatutishia na matokeo yenu feki? Tangazeni tuone! Msitake kabisa kutuharibia amani. Kwani hatujui na sisi matokeo ya huko vituoni kama wapiga kura. Wengi tumempa kura Magufuli lakino kura ya ubunge na udiwani kwa wapinzani. Mkijitangaza tutawanyoosha maana tuko wengi zaidi!
 
Mnatutishia na matokeo yenu feki? Tangazeni tuone! Msitake kabisa kutuharibia amani. Kwani hatujui na sisi matokeo ya huko vituoni kama wapiga kura. Wengi tumempa kura Magufuli lakino kura ya ubunge na udiwani kwa wapinzani. Mkijitangaza tutawanyoosha maana tuko wengi zaidi!

Yaani na wewe umempa Magufuli? Really? Seriously?

Ungempa hata mama Mghwira kama 'protest vote' ningekuelewa kabisa.

Oh well....
 
Hadi sasa Muungano wa UKAWA unaelekea kushinda majimbo zaidi 165 kwa mujibu wa Matokeo yanayokusanywa kutoka maeneo mbalimbali huku ikithibitisha mawaziri na Manaibu Waziri zaidi ya 13 wameangushwa kwa kishindo

Ben Saanane

Mkuuu Ben, mbona naona tumeburuzwa sehemu nyingi sana sasa itakuwaje tushinde hivyo viti?


aisee shaurianeni hahaha hahahaa :deadhorse:
 
Ukweli tume inacheza na saikolojia ya watanzania. Lowassa ameongoza maeneo mengi tena kwa mbali. Tume imeanza jumlisha maeneo SSM wameongoza.
 
Back
Top Bottom