Ya Maalimu Seif na Kuanguka kwa Mawaziri na UKAWA kuelekea kupata zaidi ya majimbo 165

Ndugu,mbona unadanganya hapa na sisi sote tupo karibu na vyombo vya habari tunasikia na kuona,mpaka usawa huu Magufuli anaongoza,ccm iko mbele sana tu! Mfano mzuri nimetumia mafuta yangu leo asbh kupita vituo vingi hapa jijini Mwanza nimeona jinsi ccm ilivyo mbele
 
Mwambie huyo..
Mkuu nani ahangaike na mjinga kama yule maana hata akiambiwa hataelewa sasa huyo wa nini kuhangaika naye.Mwache aungane na mwanri,kilango (mama wa ajabu sana kaolewa dodoma,anaishi dar anaongoza same).Kujifanya jeuri sasa akaishie kumfulia pichu le Mtzzz na Joni wake
 
Yaani unasema kulinda amani? wewe umekuwa jeshi la polisi? Watu wote tumekubaliana kuwa matokeo yatolewe na tume kwa sababu ndicho chombo pekee tunachokubaliana nacho wote, isingekuwa hivyo basi vyama vya upinzani wangekataa kushiriki uchaguzi. Huyu dogo naona anahamu ya kwenda segerea
 
Ukweli tume inacheza na saikolojia ya watanzania. Lowassa ameongoza maeneo mengi tena kwa mbali. Tume imeanza jumlisha maeneo SSM wameongoza.


Wanaanza na ya ccm ili wajue atakuwa na shortage ya kkura kiasi gani ili wapange namna ya kuziongezea. Wakianza kutangaza za UKAWA halafu waje waseme za Magufuli ambazo ni pungufu, wakati wameshasema za UKaWA na watu wanazijua, watajazia kutoka wapi?

Mungu ashushe hukumu ya MOTO ULAO KWA KILA MWENYE KUHUJUMU UCHAGUZI HUU. Mungu leo na Ijulikane kwamba Yeye ni Mungu wa wote wenye mwili na kwamba ni Mtakatifu na Amejaa haki. Hekima na Uweza wake havichunguziki. Ninaomba Mungu awadhalilish wote wenye hekima za wizi. Watumainio maarifa yao katika kutenda maovu. Amen. Na iwe kama nilivyoomba. Ccm outtttttttt!
 
Rais Maalim Tunaimani Nawe Serikali Tatu Karibu Sana
Lowassa Rais Wa JMT
 
Mnatutishia na matokeo yenu feki? Tangazeni tuone! Msitake kabisa kutuharibia amani. Kwani hatujui na sisi matokeo ya huko vituoni kama wapiga kura. Wengi tumempa kura Magufuli lakino kura ya ubunge na udiwani kwa wapinzani. Mkijitangaza tutawanyoosha maana tuko wengi zaidi!

Kama ni matokeo feki pelekeni mahakamani,.
 
Kama issue in kuchagua jimbo lenye range ya 50000 huku ccm mbona yako mengi, jinga kabisa!
 
Ukawa wanatangaza matokeo kama anavyotangaza January Makamba. I wish wote wasingetangaza au kama wanatangaza basi iwe ni official statement ya chama tujue moja, au ndio ilivyo?

Double Standard za CCM na serikali yake ................. hayo matokeo ya January anayatoa wapi kama hawana tallying stations!! Wakiitwa ni wakoloni wanajifanya hawaelewi!!
 
Nitasikitika sn iwapo waangalizi watasema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru.
ccm CHAMA CHA KIHUNISN. NCHI HII HAITATAWALIKA KWA DHURUMA ZA WAZI WANAZOFANYA
 
Ndugu,mbona unadanganya hapa na sisi sote tupo karibu na vyombo vya habari tunasikia na kuona,mpaka usawa huu Magufuli anaongoza,ccm iko mbele sana tu! Mfano mzuri nimetumia mafuta yangu leo asbh kupita vituo vingi hapa jijini Mwanza nimeona jinsi ccm ilivyo mbele


Ndiyo strategies hizo. Hivi hujiulizi kwa nini wanaanza kutangaza kwenye strong hold za Magufuli kwanza!!??

Wanataka kuwaandaa watu kisaikologia. Period!!
 
Back
Top Bottom