VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kesho Jumatatu,Lwakatare anatarajiwa kupandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yanayomkabili. Bado haijulikani,atashtakiwa kwa mashtaka yapi hasa na kwa mujibu wa Sheria gani za nchi hii. Kesho,kutakuwa na taarifa zaidi na kamili.Tuvute subira.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Kesho Jumatatu,Lwakatare anatarajiwa kupandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yanayomkabili. Bado haijulikani,atashtakiwa kwa mashtaka yapi hasa na kwa mujibu wa Sheria gani za nchi hii. Kesho,kutakuwa na taarifa zaidi na kamili.
Labda hiyo subira mnayotaka ivutwe ni hadi lini? Kama kesho asubuhi Lwakatare anatakiwa kufikishwa mahakamani, je atashitakiwa kwa kosa gani kama hadi hivi sasa ushahidi wa kutosha kuweza kumshitaki haujapatikana? Nafikiri ndiyo maana polisi leo walikuwa ofisi za CHADEMA kujaribu kutafuta ushahidi mwingine zaidi ya ule wa video. Na inaonekana pamoja na kukamatwa kwa Ludovick bado hawajaweza kupata sababu za msingi za kuwashitaki hawa bwana.Kama unajua kuwa tunatakiwa kuvuta subira, huu umbeya wako wa nini?
Hujui kuwa ulichoandika hapa ni swala la kawaida kati ya ofisi ya DPP na polisi kabla ya kufungua kesi? Kuna kipya kipi hapo?
Again,
Vuta Subira...
Kama unajua kuwa tunatakiwa kuvuta subira, huu umbeya wako wa nini?
Hujui kuwa ulichoandika hapa ni swala la kawaida kati ya ofisi ya DPP na
polisi kabla ya kufungua kesi? Kuna kipya kipi hapo?
Again,
Vuta Subira...
Kama unajua kuwa tunatakiwa kuvuta subira, huu umbeya wako wa nini?
Hujui kuwa ulichoandika hapa ni swala la kawaida kati ya ofisi ya DPP na polisi kabla ya kufungua kesi? Kuna kipya kipi hapo?
Again,
Vuta Subira...