Ya kufungia siku...

Ya kufungia siku...

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,266
Nimeisikia toka redio fulani hivi. Msanii kaulizwa swali, 'vipi mipango yako ya shule...'
jibu: michakato ipo kwenye process... Mh!
Yako ya kufungia siku ipi?
 
Sure nimesikia hiyo pia, cha ajabu alikua anaongea kwa kujiamini sana

Nimeisikia toka redio fulani hivi. Msanii kaulizwa swali, 'vipi mipango yako ya shule...'
jibu: michakato ipo kwenye process... Mh!
Yako ya kufungia siku ipi?
 
Back
Top Bottom