Ya january makamba na facebøøk.

.GREAT THINKERS should never take any thing from forum members(like gama) but from gaigin et al

nimeuliza kama source ni Gama tu kwa sababu ulisema wewe 'umenusa' tu hiyo habari, na nnavyo amini habari ya kunuswa tu kutoka sehemu isitumike kama ushahidi kwenye hukumu.

nilidhani ungerudi hapa na kukubali kuwa hukupaswa kunukuliwa katika hukumu, kumbe ndo kwanza unataka ujiko!
 
ujiko?!, ujiko janvini?!, toka jana ungeliambia jamvi kuwa kilichosemwa hapa ni true au c true (with evidence) mjadala ungekuwa umeisha- wewe ndo unatafuta ujiko kwa kuchoooooooooooooooooonga saaaaaaaaaaaaaaana.
 
post yangu ya kwanza nili ku refer kwenye thread yenye evidence.

inaonyesha hata hiyo post bado hujaenda kuisoma manake ungekuwa ushajua kaa ulichokisema ni ukweli au uongo.
 
siyo lazima nifanye utakavyo wewe,
 
Mtanisamehe jamani lakini nilifungua link ya hii habari ili nijue undani wa hili tukio la Mh. Makamba Jr...lakini chga kusikitisha nimeambulia malumbalo ya "GREAT THINKERS" na nimetoka patupu...

Ushauri wangu ni kuwa tuvumiliane na tuwe na staha...hakuna aliye kamili humu duniani,ukiona mwenzio kakosea angalau lugha za kista arabu za zenye staha zitumike ili mwisho wa siku sisi wenye upea nadra tupate ujumbe ambao muanzishaji wa mada alidhamiria tuupate...

Wacha nianze kuvuja jasho kutafuta hiyo thread ya "Lisa Rockerfella"...
 
Hutaipata maana jamaa alimfuta mara moja kwenye friends list yake. Labda ngoja nimtafutekwenye google
 
Mi nakwambia hivi vipaji tungevitumia katika uandishi wa riwaya labda kina Elvis Musiba wangekuwapo wengi tu.

Kila kitu siasa siku hizi, na kila kitu game.

Tacky. Just tacky. Unresearched misinformation is just so tacky.

If you want to misinform us at least give us some researched misinformation that borders on the truth so we can get a challenge to figure out, not this weak fluff.

This is insulting people's intelligence. But perhaps we have some genuine arachnids and molluscs up in here, so excuse some of these invertebrates for their slowness.
umeguswa eeh???
kama weye sio mhusika nipe mji
 
Matusi? Matusi si nature yangu, ila kuna weakherts fulani kama wewe hata ukiwaambia "Hello, how are you doing?" watamaka mbona yule kanisalimia kwa mkazo sana, ananibeza nini.

Kuwaita slopokes slopokes si matusi, ni kusema ukweli tu.

we kweli kiranga..
 
Hahahaha U re very right dude some ppl cant aasume the role of great thinker even for few seconds before they do their postings

Otherwise I like the way u can play arround with this english language.though sometime i need to make friendhship with a dictionary

acha wehu wewe, unatishika na vijimsamiati mbuzi vya kiingereza...huyo anayekutisha si mwingereza, lakini kwa ulimbukeni wake anakithamini kiingereza kuliko lugha ya kwao.....na kakukuta limbukeni mwingine.....wote wehu nyie..
 
Ebu acha munkali. Jenga hoja na si kutunishiana misuli. Hiyo thread inayosemwa kuwa ina taarifa Muhimu kuhusu Kashifa hiyo kwanza haimuongelei January makamba ila inamuhusu baba yake na ni matusi na maandiko ya Mitaani. Iwapo kuna ushahidi kuhusu tuhuma ya Kumdhalilisha kijinsia Lisa Rockefeller au "Lisa Rockerfella" vyoyote vile basi uwasilishe jamvini. Tunahitaji credible source na si vinginevyo. GOOD DAY
 
mbona hoja haijajadiliwa mi naona hapo watu wanatishiana tu na kulumbana out of hoja iliyotolewa,be serious guys
 
Aiseh, yaani hapo kwenye red kama ni kweli basi sisi CHADEMA ndio furaha yetu manake tutashinda urais kwa ulaiiiiiini. Hayo mengine achana nayo, habari za Lisa na JM tulishazijadili hapa.
ITAKUWA NI KAMA KENYA WALIVYO MPITISHA UHURU KENYATTA KILICHOFUATA NI KANU KUANGUKA:nono:
 
Mi nakwambia hivi vipaji tungevitumia katika uandishi wa riwaya labda kina Elvis Musiba wangekuwapo wengi tu.

Kila kitu siasa siku hizi, na kila kitu game.

Tacky. Just tacky. Unresearched misinformation is just so tacky.

If you want to misinform us at least give us some researched misinformation that borders on the truth so we can get a challenge to figure out, not this weak fluff.

This is insulting people's intelligence. But perhaps we have some genuine arachnids and molluscs up in here, so excuse some of these invertebrates for their slowness.
Sijakumaliza vizuri,ok jazba pembeni sema ukweli hili swala ni kweli?
 
Back
Top Bottom