Ya january makamba na facebøøk. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya january makamba na facebøøk.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Nov 7, 2010.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wajameni, ktk pitapita yangu ktkt ya vijana wa chuo kikuu nimenusa debate juu ya mbunge mteule wa jimbo la bumbuli, waziri mtarajiwa na mgombea uraisi mtarajiwa (2015 elections) vs facebook. Vijana hawa walikuwa wakijadili kuwa januar alikuwa na fb friend wa kike mumarekani, walipotofautiana january aka mu - abuse na kumtolea maneno ya vitisho. Msichana akamlipoti kwenye vyombo vya usalama vya marekani: hivyo januari makamba amezuiliwa kuingia katika nchi hiyo. Wana jf nawasilisha, najua januari ni memba wa janvini tena kwa majina mengi naomba atueleze ukweli. Natamani joka kuu asiache kuchangia.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  gama ....nenda katafute thread yenye key word Lisa Rockerfella utakutana na maelezo yanayojitosheleza.

  ila kweli watanzania washabiki .......ishakuwa karipotiwa kwa vyombo vya usalama! kazi ipo
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Mi nakwambia hivi vipaji tungevitumia katika uandishi wa riwaya labda kina Elvis Musiba wangekuwapo wengi tu.

  Kila kitu siasa siku hizi, na kila kitu game.

  Tacky. Just tacky. Unresearched misinformation is just so tacky.

  If you want to misinform us at least give us some researched misinformation that borders on the truth so we can get a challenge to figure out, not this weak fluff.

  This is insulting people's intelligence. But perhaps we have some genuine arachnids and molluscs up in here, so excuse some of these invertebrates for their slowness.
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  yaani watanzania wengi ukiwapa pure facts hawawezi hata kukuelewa, lazima uwajazie na chumvi na pilipili.

  na hapo akisha ambiwa na yeye aongeze lake kidogo kisha ndo asambaze. hakuna anaefanya uhakiki wa taarifa, wala kuhakikisha kuwa hajaongeza lake.

  ndio maana magazeti ya udaku yanauza kuliko magazeti yanayoandika taarifa bila ya kuziremba kwa uongo mwingi.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  ukimaliza kutukana tupe ukweli, ican see it in your eyes that you have the trueth, thread inasema wanajanvi wajulishwe ukweli. Nakupongeza kuwa wanajanvi umewajulisha ukweli kuwa wewe hujapelekwa jando ndo maana matusi kwako ndo mchango ktk debate
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Matusi? Matusi si nature yangu, ila kuna weakherts fulani kama wewe hata ukiwaambia "Hello, how are you doing?" watamaka mbona yule kanisalimia kwa mkazo sana, ananibeza nini.

  Kuwaita slopokes slopokes si matusi, ni kusema ukweli tu.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  so wewe unaona kuwa habari imerembwa na kuongezwa chumvi na pilipili. Ondoa urembo,chumvi na plpl kwenye hii habari kisha wape wanahabari ukweli, maana kupata ukweli ni haki yao.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  nimeshakwambia kuwa ina thread yake hapa yenye kichwa cha habari kinachojumiisha maneno Lisa Rockerfella .......sasa unataka nini tena zaidi ya hapo?
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  so kiranga plz do us a fever tell us the trueth: that Sir JM was defriended by an fb friend and resorted to abuse her?!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  merci d'avance
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  I don't do gossip, I don't know what does "do us a fever" mean, and trueth sounds like from bad olde Shakesperean Englishe I won't care for.
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Aiseh, yaani hapo kwenye red kama ni kweli basi sisi CHADEMA ndio furaha yetu manake tutashinda urais kwa ulaiiiiiini. Hayo mengine achana nayo, habari za Lisa na JM tulishazijadili hapa.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hahahaha U re very right dude some ppl cant aasume the role of great thinker even for few seconds before they do their postings

  Otherwise I like the way u can play arround with this english language.though sometime i need to make friendhship with a dictionary
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  of kz yes, u care 4 english english and not for englishe
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Obviously you didn't get it, and some say natukana ninapowaita slopokes slopokes.
   
 16. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na huyo mwezi mosi atakua alishauria na babaake kumtishia huyo mdada wa kizungu, manaake mzee ma k alivo na mdomo jamani basi tu hashindwi, LIKE FATHER LIKE SON.
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hivi umehukumu kwa kutumia source hiyo ya Gama au kuna sehemu nyengine umepata maelezo yako?
   
 18. s

  schulstrasse Senior Member

  #18
  Nov 7, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :doh:
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  no more to add
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  .GREAT THINKERS should never take any thing from forum members(like gama) but from gaigin et al
   
Loading...