Ya Bamkwe yangalipo: Safari yangu ya gerezani bila kupitia polisi wala mahakamani

Tuliza kishundu wewe, Magufuli ni moja Kwa moja motoni.
Wewe ni mbwa tu na utamkumbuka sana alivyokufanya mpaka ukakimbia nchi hata SA ukashindwa kukaa biashara ya madawa ikashindikana chezea Magufuli wewe!! Saa hizi nakuona unahangaika sana na maisha. Njoo tena ufanye hiyo biashara yako ya madawa tukuone kama hutapigwa miaka 30 ama maisha kabisa.
 
Hatuwezi kusingizia kumpendeza Mungu kwa kufanya yasio sahihi...uovu ni uovu

Pole sana mkuu...walio nyuma ya yote haya...Mungu akawafundishe anavyoona inafaa wasirudie tena uovu huu na wauchukie kabisa
 
Aiseee nimelia kama nimefiwa na Mama... ;;

Kilichoniuma zaidi JWTZ walihusika aiseee kisa nini hasa ? Madaraka !!? Pesa ?? Au nini ???

HIVI WALIOFANYA HIVYO NI WATANZANIA KWELIIII ????

EENHEE !! MUNGU WANGU.
 
Yule mwendazake alikuwa agent wa shetani na bingwa wa unafiki,ashukuriwe mola aliyelifyekelea mbali dubwana lile, lilikuwa katili mno,
Avumaye baharini papa, kumbe wengine wapo!
Akina Samia wamejaa tele, kaondoka mmoja (au wachache tu).
 
Aiseee nimelia kama nimefiwa na Mama... ;;

Kilichoniuma zaidi JWTZ walihusika aiseee kisa nini hasa ? Madaraka !!? Pesa ?? Au nini ???

HIVI WALIOFANYA HIVYO NI WATANZANIA KWELIIII ????

EENHEE !! MUNGU WANGU.
Ambacho nimekuja kugundua ni kuwa waTz tuna roho mbaya sana, yaani kujidai tuna utu na amani ni unafiki tu.
 
Back
Top Bottom