Xtreme mpaka kwa wanywaji!

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Baada ya tigo kuja na xtreme na mitandao mingine kuiga kwa majina tofauti tofauti,sasa wanywaji wa bia wamekuja na mpya!Wanadai walipe sh 1500 halafu wakate maji buure mpaka saa sita za usiku kuanzia saa moja asubuhi.Watafanya maandamano ya amani kudai xtreme na yataanzia TBL na kuishia getini Ikulu.Habari ndo hiyo!
 
Back
Top Bottom