B bigboy123 Member Joined Jan 18, 2015 Posts 8 Reaction score 29 Jan 19, 2015 #1 Msaada anaejua fundi anaeweza kurekebsha hlo tatzo.Fundi awe Dar,Moro au Arusha.
achengula JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 369 Reaction score 63 Jan 19, 2015 #2 Nami simu yangu kioo kimepasuka simu ikiwa mfukoni wakati naendesha gari. Nimeambiwa gharama laki 2 imebidi niipack tu ninunue tecno tu.
Nami simu yangu kioo kimepasuka simu ikiwa mfukoni wakati naendesha gari. Nimeambiwa gharama laki 2 imebidi niipack tu ninunue tecno tu.
K kapepa Senior Member Joined Dec 15, 2014 Posts 132 Reaction score 22 Jan 19, 2015 #3 achengula said: Nami simu yangu kioo kimepasuka simu ikiwa mfukoni wakati naendesha gari. Nimeambiwa gharama laki 2 imebidi niipack tu ninunue tecno tu. Click to expand... jaribu kutafuta ebay au dhgate unaweza pata kwa bei rahis
achengula said: Nami simu yangu kioo kimepasuka simu ikiwa mfukoni wakati naendesha gari. Nimeambiwa gharama laki 2 imebidi niipack tu ninunue tecno tu. Click to expand... jaribu kutafuta ebay au dhgate unaweza pata kwa bei rahis
AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 7,052 Reaction score 5,879 Jan 20, 2015 #4 bigboy123 said: Pole mkuu,mm ya kwangu imebanduka kwa7b ya joto. Click to expand... Mkuu hebu nipe tafsiri yake hapo sijaelewa unamaanisha nini. Unajuwa wengine lugha za ki-fesibuku tushazisahau Tangu tumeijuwa JF.
bigboy123 said: Pole mkuu,mm ya kwangu imebanduka kwa7b ya joto. Click to expand... Mkuu hebu nipe tafsiri yake hapo sijaelewa unamaanisha nini. Unajuwa wengine lugha za ki-fesibuku tushazisahau Tangu tumeijuwa JF.