Xiaomi Redmi 10C Vs Samsung Galaxy A03s: Ipi ni simu bora?

Redmi 9A na 9C zimetoka muda mmoja na 9, sijui kama zimeisha huko Tigo ila miezi kadhaa mwaka huu huu niliziona.

Ukikosa Tigo unapata Kenya kama una Connection, nako chini ya laki 3.
Tigo Sa hivi hawana afu wameanza kuzirusha bei
 
ni simu ya zamani mkuu so kikawaida inaanza kuwa adimu, subiria redmi 11C kama nayo itakuja na soc nzuri kama 10C inaweza kuwa simu nzuri zaidi, note 11 ina sd 4 gen 1
 
IMG_20221113_112928.jpg
IMG_20221113_112940.jpg
 
ni simu ya zamani mkuu so kikawaida inaanza kuwa adimu, subiria redmi 11C kama nayo itakuja na soc nzuri kama 10C inaweza kuwa simu nzuri zaidi, note 11 ina sd 4 gen 1
Mkuu kama kuna mtu anahitaji simu ya Redim S10 niunganishe ninayo ina umri wa miezi minne bei 450000/= laki nne na hamsini elfu, haina punguzo
 
Nadhani kuna watu walikuwa wanazichukua tigoshop Kwa Kasi ya kimbunga then wanaziuza bei juu na zile offer pia wanaziuza kivingine .
Hapo ukute wahudumu wa tigo wameingiwa na tamaa ndio wanapiga cha juu.
Inasemekana wale jamaa wa tigo shop ni Freelance tu wanatakiwa wajilipe wenyewe so why wanajiongeza.
 
Make sense mkuu, Redmi note 11 inauzwa ghali sana uki compare na Avechi, series zilizopita kama note 10, 10s, redmi 9 etc zilikuwa rahisi kuliko China na Kenya.
 
Mkuu, hivi unaweza ku-update MIUI software bila ku-update Android version?
Kwa mfano Xiaomi Redmi 10 ina MIUI 12.5 na Android 11, je unaweza kui-update hadi MIUI 14 na kubaki Android 11 palepale bila kushift kwenda Android 13?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Possible ila sio wewe, ni Xiaomi wenyewe.

Nimeona Miui 14 ipo kote kote Android 12 na 13
 
Inasemekana wale jamaa wa tigo shop ni Freelance tu wanatakiwa wajilipe wenyewe so why wanajiongeza.
Kwanzia July 2022 simu zilirudishwa kwenye VAT, kwa hiyo na Tigo nao wakaongeza VAT kwenye bei, kabla ya hapo niliwahi kununua Redmi 9A 32GB @ 215,000 lakini baada ya july bei yake ni 250,000. Redmi 10C 64GB ilikua 320,000 sasa hv naona wanauza 375,000.
 
Kwa hiyo ukiagiza simu nje ikiingia hapa unalipia VAT?[emoji848][emoji848]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ukiagiza simu nje ikiingia hapa unalipia VAT?[emoji848][emoji848]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Ndio.. Lakn hili swala naona halitiliwi mkazo sana. Kuna baadhi ya posta utalipa na nyingine unaweza usidaiwe. Pia kwa AliExpress ukibahatika kutumiwa parcel kwa Speedaf hautalipa. Cha kuzingatia ni kwamba simu zinapaswa kulipiwa VAT.
Screenshot_2023-02-07-09-54-42-674_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom