Mkuu inajulikana kabisa Samsung ndio king wa display
Kioo cha Samsung Galaxy S22 Ultra ni kizuri mara mia ya iPhone 13 pro Max, Samsung hawajawapendelea iPhone, hiyo Note 10+ unayoiongelea ni ya 2019 wakati iPhone 13 pro Max ni ya 2021.
Samsung is the KING OF DISPLAY![]()
Hiyo mara mia ni hyperbole tu mkuuNikweli unachokiongea ila ukisema s22 nikizuri mara mia ya iphone 13 pro max mara mia shekhe ivi unajua maana ya mara mia kuna jamaa mmoja anaitwa octagraphy ni mfanyakazi wa cloud media ni director aliwahi kusema kuwa ma director wengi na wasanii wengi dunia wanapenda kuzituia iphone kutengeneza short film zao kwakuwa display za iphone zimekidhi vigezo vyote ukiikodolea kwamda mrefu haziumizi macho hazina mwanga wakuchoma mbona za macho hii mada ilikuja baada ya director kenny kusema alishoot show ya daimond kipindi cha corona kwa kutumia iphone xs max
One UI kuipita iOS ni NDOTO.
Competitor wa One UI ataendelea kuwa MIUI
Niamke, nisiamke, Nikariri, nisikariri. Vyovyote vileamka usikariri.ios ni imara ila sio faster na smooth kuzidi zingine.
ukiangalia rewies watumiaji wanalalamikia crashing sio smoothness.
Mkuu safi sana,unatuwakilisha vyema tunaoielewa MIUIHivi kwa nini kama Samsung na Xiaomi zinatumia chipset ya aina moja Xiaomi ndio zinakua faster?
Ni kwa sababu MIUI sio nzito kama One UI. One UI ina vitu vingi na ni vizito kuoperate kuliko MIUI.
Kingine One UI ina bloatware kuliko MIUI, mi sipendi, inakula storage kubwa sana. Samsung ya 64GB unaweza kukuta umebakishiwa 48GB tu, huku 16GB zote zinaishia kwenye software yenye bloatware, tena useless kabisa. Simu za Xiaomi zenye 64 GB unaweza kukuta hadi 55GB free.
Uzuri wa One UI hauzuii Software nyingine nazo kuwa nzuri, hiyo One UI haijaiacha MIUI parefu. Hata hivyo styles, app icons na muonekano mzima wa MIUI unavutia kuliko wa One UI. Features za MIUI nyingi zinakosha kuliko za One UI
Muonekano wa One UI sijui ukoje, mi nauona upo serious sana, serious kama beberu anavyokuwa akikukunjia sura.
MIUI inavutia hta ukiiangalia kwa macho kweli software inaita,software inatoa nyoka pangoni, inaita kama toto la kizanzibari linalonukia marashi ya karafuu likikukonyeza kwa jicho moja lililopakwa wanja wa kiarabu.
Xiaomi Forever![]()
kwa vile ni msimamo tu hamna shida😅😅Niamke, nisiamke, Nikariri, nisikariri. Vyovyote vile
One UI kuifikia iOS ni ndoto. Narudia competitor wa One UI ataendelea kuwa MIUI. Full stop.
Chukua tecno spark 5 air display yake ni 7.0Wana simu zenye 6.9 display? Screen kubwa ndio ugonjwa wangu
Simu za kichina zinafanana karibia zote kimuonekano wa Icons. Zimekaa kama za Techno.Hivi kwa nini kama Samsung na Xiaomi zinatumia chipset ya aina moja Xiaomi ndio zinakua faster?
Ni kwa sababu MIUI sio nzito kama One UI. One UI ina vitu vingi na ni vizito kuoperate kuliko MIUI.
Kingine One UI ina bloatware kuliko MIUI, mi sipendi, inakula storage kubwa sana. Samsung ya 64GB unaweza kukuta umebakishiwa 48GB tu, huku 16GB zote zinaishia kwenye software yenye bloatware, tena useless kabisa. Simu za Xiaomi zenye 64 GB unaweza kukuta hadi 55GB free.
Uzuri wa One UI hauzuii Software nyingine nazo kuwa nzuri, hiyo One UI haijaiacha MIUI parefu. Hata hivyo styles, app icons na muonekano mzima wa MIUI unavutia kuliko wa One UI. Features za MIUI nyingi zinakosha kuliko za One UI
Muonekano wa One UI sijui ukoje, mi nauona upo serious sana, serious kama beberu anavyokuwa akikukunjia sura.
MIUI inavutia hta ukiiangalia kwa macho kweli software inaita,software inatoa nyoka pangoni, inaita kama toto la kizanzibari linalonukia marashi ya karafuu likikukonyeza kwa jicho moja lililopakwa wanja wa kiarabu.
Xiaomi Forever![]()
Umenunua makumbusho au umeagiza mbele?Nduguu kioo kipo vizuri kinoma kwanza hakiboi machonii nilikuwa na note 10+ nilikuwa nikicheki video kioo kinawaka sana mpaka na punguza mwanga ila 13 pro max kipo vizuri sana japo wana sema apple wamewapa Samsung tenda ya kuwatengenezea vioo basi samsung wamewapendelea iphone maana kioo kinauhalisia kabisa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe safi sana
MIUI ni skin ya hovyo kabisa..One UI kuipita iOS ni NDOTO.
Competitor wa One UI ataendelea kuwa MIUI
Hizi simu zinaharibiwa na hii MIUI, hawa jamaa kwenye software ni hovyo.MIUI ni skin ya hovyo kabisa..
Kuna pre-installed apps nyingi tu kwenye MIUI unaweza kuzifutaSimu za kichina zinafanana karibia zote kimuonekano wa Icons. Zimekaa kama za Techno.
Mbaya zaidi zinakuja na pre installed apps nyingi mno tena zile za kitoto.
Hapo ndo sababu kuu ya kutowaza kununua simu za China.
Xiaomi, Oppo, Real Me, Pocco Phone na wengine wengi tu.
Ni mtazamo wako, ila binafsi naona muonekano wa apps za ios hakuna wa kumfikia zikifuatia za Samsung.Kuna pre-installed apps nyingi tu kwenye MIUI unaweza kuzifuta
Pia MIUI 14 inakuja na application nane tu tofauti na MIUI zilizopita ambazo zilikuwa na applications zaidi ya 15
Kuhusu suala la pre installed apps, hata One UI inakuja na applications nyingi sana tena zinakula storage kuliko hata za MIUI
Halafu icons za Xiaomi MIUI zinavutia sana na pia unaweza kubadilisha kama hujavutiwa nazo. MIUI ni tajiri wa themes, wallpapers na features.
Watu wengi wanaosema MIUI ni ya ovyo nikiwauliza ubaya wake wanashindwa kuniambia... Hebu semeni huo uovyo unatokea wapi? Au point yako ni shapes za icons?
Skin ya MIUI za sasa inafanana sana na iOS kimuonekano kuliko inavyofanana na hizo TECNO, oppo, vivo na simu nyingine za kichina
Hata ukisearch comparison ya One UI vs MIUI utaona hamna tofauti sana
Sawa bwanaNi mtazamo wako, ila binafsi naona muonekano wa apps za ios hakuna wa kumfikia zikifuatia za Samsung.
Hao wachina mna appearance mbovu sana.

Mwenye hii cm aje DM tuyajenge aseeXiaomi Mi 9 SE