Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,755
Huu ni ukweli nimedhibitishaNenda Samsung.... huyu mchina sijui Xiaomi mara Oppo ni takataka
Huu ni ukweli nimedhibitishaNenda Samsung.... huyu mchina sijui Xiaomi mara Oppo ni takataka
Kumbe ndo kosa nililolifanya aiseee najutaaaaaaaaaa nataman hata kutupa simuMiui n nzur ila never update it asee utalia kilio ambacho hakipo an utalia
Kumbe ndo kosa nililolifanya aiseee najutaaaaaaaaaa nataman hata kutupa simu
Hzo simu software ni pooorUmethibitishaje mkuu
MIUI software sio poor, ina features nyingi sana. Shida ipo kwenye kuupdate tu ndio simu inamisbehave, ambayo hiyo shida ipo hata kwenye One UI ya Samsung pia. Kwangu mimi huwa sipendi kuupdate software, hiyo sio shida kwangu.Hzo simu software ni pooor
MIUI software sio poor, ina features nyingi sana. Shida ipo kwenye kuupdate tu ndio simu inamisbehave, ambayo hiyo shida hata kwenye One UI ya Samsung pia. Kwangu mimi huwa sipendi kuupdate software, hiyo sio shida kwangu.Hzo simu software ni pooor
Miui n nzur ila never update it asee utalia kilio ambacho hakipo an utalia
MIUI software sio poor, ina features nyingi sana. Shida ipo kwenye kuupdate tu ndio simu inamisbehave, ambayo hiyo shida ipo hata kwenye One UI ya Samsung pia. Kwangu mimi huwa sipendi kuupdate software, hiyo sio shida kwangu.
Kama unaongelea software basi MIUI sio poor, labda hiyo ColorOS ya Oppo
Ukilinganisha na samsung Ui , MiUI bado si sio stable. If update tu haiboreshi simu inaongeza matatizo something is needed.
Samsung UI Wanafukuzana na IOS kwa ubora muda huu.
Hivi kwa nini kama Samsung na Xiaomi zinatumia chipset ya aina moja Xiaomi ndio zinakua faster?Ukilinganisha na samsung Ui , MiUI bado si sio stable. If update tu haiboreshi simu inaongeza matatizo something is needed.
Samsung UI Wanafukuzana na IOS kwa ubora muda huu.


Ni kweli MIUI haina stability, software zao zimekaa kimchongo, nawahama soon, ngoja nikajaribu na oppoMI wanazingua sana , Camera sjui zina maruhan , sometime picha zinatoka clear , sometime zinakuwa blurred, mpak urestart simu ndo inakaa mkao , too much update command , alaf app nyingi zinakuwa na matangazo , kwenye music player ina display sio nyimbo zote , zingine mpak ukazitaftie kwenye file manager ,
Sometime ukiweka laini mbili za mtandao mmoja , inakuwa inachelewa kurespond mpak Kero, ukienda kwenye recently call ni empty mpak baada ya mda ina display .... !! Soon nahamia iPhone series
Vipi ubora na mvuto wa kioo ukilinganisha na hiyo Samsung?Oya nilikuwa natumia samung note 10 plus ndani ya mwaka tu ikaanza kubadilisha rangi kwenye kioo nikaipeleka samsung walivyoitengeneza tu nikaiuza nakuhamia iphone 13 pro max ebwanee huu ulimwengu nimzuri sana kwanza freshrate ipo bora sana inakaa nachaji kuliko flagship yoyote ile ya 2021 kwenye camera sasa yaniukipiga picha hunahaja yakuongeza mirangi hapo ndonikapata jibu kwanini wanawake wengi duniani wanapenda iphone unapiga picha unapost kitu kingine nilichokipenda zaidi ni apple music unalipia 7000 kwamwezi tu unapata music iliokuwa bora kabisa wapenzi wamuziki wanajua ubora wa music dolby atmos haiumizi masikio kingine unaweza kuminya sauti yamsanii ikabaki beat ukawa unaimba mwenyewe tu kiufupi nilichelewa sana kuingia kwenye huu ulimwemgu kiufupi navyoviitaji vyote kwenye simu iphone wamenipa so unatakiwa ujue unaitaji nini kwenye simu kabla hujanunu simu
Vipi ubora na mvuto wa kioo ukilinganisha na hiyo Samsung?
Mkuu inajulikana kabisa Samsung ndio king wa displayNduguu kioo kipo vizuri kinoma kwanza hakiboi machonii nilikuwa na note 10+ nilikuwa nikicheki video kioo kinawaka sana mpaka na punguza mwanga ila 13 pro max kipo vizuri sana japo wana sema apple wamewapa Samsung tenda ya kuwatengenezea vioo basi samsung wamewapendelea iphone maana kioo kinauhalisia kabisa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe safi sana


Me nauza mi 12 kama mtu yupo anahitaji anifateMkuu, kwa hiyo unaamini kuwa Oppo ndo itakuwa nzuri kuliko hizo Xiaomi?
Xiaomi next level
Aisee wapi nitapata mix fold 2 kwa Dar?MIUI software sio poor, ina features nyingi sana. Shida ipo kwenye kuupdate tu ndio simu inamisbehave, ambayo hiyo shida hata kwenye One UI ya Samsung pia. Kwangu mimi huwa sipendi kuupdate software, hiyo sio shida kwangu.
Kama unaongelea software basi MIUI sio poor, labda hiyo ColorOS
Sio lazima uwe na iPhone ndo upate Apple music..hata Android mtu anaweza kuwa na Apple music..ni streaming servive kama Deezer na SpotifyOya nilikuwa natumia samung note 10 plus ndani ya mwaka tu ikaanza kubadilisha rangi kwenye kioo nikaipeleka samsung walivyoitengeneza tu nikaiuza nakuhamia iphone 13 pro max ebwanee huu ulimwengu nimzuri sana kwanza freshrate ipo bora sana inakaa nachaji kuliko flagship yoyote ile ya 2021 kwenye camera sasa yaniukipiga picha hunahaja yakuongeza mirangi hapo ndonikapata jibu kwanini wanawake wengi duniani wanapenda iphone unapiga picha unapost kitu kingine nilichokipenda zaidi ni apple music unalipia 7000 kwamwezi tu unapata music iliokuwa bora kabisa wapenzi wamuziki wanajua ubora wa music dolby atmos haiumizi masikio kingine unaweza kuminya sauti yamsanii ikabaki beat ukawa unaimba mwenyewe tu kiufupi nilichelewa sana kuingia kwenye huu ulimwemgu kiufupi navyoviitaji vyote kwenye simu iphone wamenipa so unatakiwa ujue unaitaji nini kwenye simu kabla hujanunu simu
Samsung one UI wakorea wametulia..Ukilinganisha na samsung Ui , MiUI bado si sio stable. If update tu haiboreshi simu inaongeza matatizo something is needed.
Samsung UI Wanafukuzana na IOS kwa ubora muda huu.
Samsung one UI wakorea wametulia..
Samsung experience na Touchwiz zilikuwa za ajabu ajabu tu.
Hii one UI ni visually appealing sana pia.