MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 923
- 1,101
Bashite aliwahi kupata mualiko 'kama huo' China. Akapewa treatment ya 'naibu rais'.Uzuri Xi Jinping anajua kula vizuri sana na vipofu, Hapo kiongozi wa kiafrika ataona KAHESHIMIKA SAANA
Kwenye katiba mpya inayokuja tumwambie Rais maongezi yanayohusu nchi yawe must kuwa public .nb ndugai akikaribishwa ka mfalme china na kugeuka kuwa speaker wa bandari ya bagamoyoRais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.
Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Rais Samia Suluhu anaendelea kuimarisha diplomasiaRais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.
Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Kweli aisee Tanzania ilikua imejitenga sana lakini toka Rais Samia Suluhu aingie madarakani tumepata fursa nyingi kutoka nje kwasababu Rais Samia Suluhu anaimarisha diplomasiaSafi sana mama piga kazi. Nchi ilijifungia kama tuko kisiwani bhana
Asante kwa taarifa, angalau sasa yule Twiga wetu arefushe shingo yake hadi Beijing!.Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping amemualika Rais wa Tanzania, Samia Suluhu nchini humo kuanzia tarehe 2 Nov hadi tarehe 4 November 2022 ziara ya kikazi.
Kila la heri Rais Samia katika ziara yako. Mengi mtakayojadili ni kwa faida ya watanzania.
Subiri ombwe lingine lije ndipo utajua maana ya upuuzi ulio andika!.Safi sana mama piga kazi. Nchi ilijifungia kama tuko kisiwani bhana
Umezidi wivu wako.Uzuri Xi Jinping anajua kula vizuri sana na vipofu, Hapo kiongozi wa kiafrika ataona KAHESHIMIKA SAANA