Xbox 360 vs playstation3 nani mkali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Xbox 360 vs playstation3 nani mkali?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Abdson, Jul 31, 2012.

 1. A

  Abdson Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nauliza kati ya playststion3 na xbox360 nani mkali?wasilisha maoni yako kama ulishawahi kuzicheza game hizo,halafu mwisho wa yote tunamtangaza mshindi.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135


  kwanza naomba nikurekebishe hizo sio games ni vifaa vya kuchezea games(yaani CONSOLES).
  Tukiludi katika kulicho ulizwa; kila kifaa hapo kina makali na mapungufu yake, tukianza na speed of processing PS3 iko juu kuliko 360, lakini 360 ina graphics qualiti kubwa kuliko PS3 [​IMG]
  PS3 muonekano wake umekaa ki katuni zaidi ukilinganisha na 360 ambapo muonekano wa mtu umekaa mihalisia zaidi
  [​IMG]
  Tukiludi katika mipengele cha upatikanaji wa games hapa PS3 kamtupa mbalisana 360, PS3 ina magame menge na ya bei nafuu kuliko 360.
  •BEYOUND GAMES PS3 WINS kwa kutoa Blue Ray compatibility Kwaa jili ya movies lovers pia inauwezo wa kucheza movies za 3D, wakati hapa 360 kaishia kwenye HD-DVD.
  YANGU NI HAYO TU WADAU WENGINE WATAJAZIA
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  mbona mumeacha wii pemben mueken na yeye tuone
   
 4. A

  Abdson Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana ckutaka kuweka battle na wii nintendo, nadhani ni zaidi ya wote.
   
 5. A

  Abdson Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi kuhusu hard drive zao?
   
 6. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  duh... Hyo wii ni aina gan hyo..,
   
 7. leh

  leh JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  haha, bonge la point!!

  sidhani kuna cha kuongeza hapo mkuu, umecover point zote za maana. ndio graphics za xbox 360 zipo higher (na ni baadhi ya games tu) lakini haina games nyingi kama za ps3, inacheza (movies) mfumo wa .mp4 pekee yake, haina bluray, new xbox 360 kinect ni unhackable (which kwangu is a huge no! no!) na mengine mengi. ps3 forever
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Hii ni game la nintendo linaitwa wii ni competitor na ps3, na xbox 360.

  Ni successor ya gamecube kama kawaida yao wazee wa series.
  Ilianza nes ikaja snes, ikaja game boy, ikaja gameboy advance ikaja nds ikaja gamecube now ni wii
   
 9. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  duh.,, nahtaj shule mpaka leo nmetumia super mario, super sonic. Ps 1 na ps 2 bas... 3 na x box bado.... Ngoja njipange...
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Super mario umelicheza na console ipi? Maana owner wao mmoja mario na wii
   
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  umesahau n64 na 3ds.
  list ni hivi..
  Color TV Game>NES>SNES>N64>Game Cube>Wii
  ninatofautisha Video Game Consoles na Hand helds because nintendo wameuza always these two hand in hand (not to mention kuwa moja ni portable, nyingine ni ya TV :biggrin:)
  Game &Watch> Game Boy>Game Boy Color> GBA> GBA sp (ilikuwa design ya pili ya GBA lakini naichukulia kama maendeleo)> DS>3DS

  nimeown at one time or the other all these nintendo consoles pembeni na 3ds & Wii, because nimependa sana sana mario, legends of zelda, pokemon,golden sun, street fighter na final fantasy (final fantasy is my all time fav. franchise eva!!) ambazo most of the times zilikuwa ni nintendo exclusive (mario, legend of zelda..) lakini siku hizi sioni kikubwa na nintendo hence why sina 3ds au wii

  then ukifika kwa controls za wii (although najua wengi watabisha) hizo controls hazifurahishi hata kamwe kwenye serious gaming. while zilikuwa fun siku za snes, i cant see myself nikicheza modern warfare au COD kwa kutumia hizo controls
   
 12. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  console ile ya kzaman.... Cjui inaitwaje.... Ila ilikua ina magame ya kitoto.... Na hata mara ya mwisho kucheza ilikua 2008 dizain kama ya super sonic
   
 13. leh

  leh JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nurbert, naona kama unasema snes au nes. ila kama control yake ina pembe tau, unasema n64
  ilikuwa inatumia cd au catridge?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ilikua inatumia vtu kama cheap flan unachomeka juu... Then inakua na pad mbili, magem mengne ambayo nayakumbuka lilikwemo la olympik, duck hunt... Ila olympic unachagua mchezo kama ni archer, kukimbia au kuogelea...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. A

  Abdson Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila nasikia nintendo ndio wameidevelop ps2 na 3.
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  X box ndo kila kitu
   
 17. A

  Abdson Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nintendo wii kwa takwimu ndio anaongoza UK kwa kuuza consoles 5million akifuatiwa na xbox 3million halafu ndo ps3.wii kawaua wenzake pale alipotoa handhelds zenye motion sensor,japokuwa hazijakaa utamu ktk kucheza baadhi ya games.Ila nadhani Xbox ndio namkubali sana.
   
 18. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii mada kwa wanaomiliki hizo 2 games watanielewa, x box imetoka one year ahead of ps3 lakini mpaka june 2012 ps3 anamzidi x box kwa mauzo, pitia wikipedia and google for that na reviewers wengi wanaipa ushindi ps3 kwenye multimedia service as cross media bar ambayo ndo system iliyowekwa kwenye ps3 is more entertained that system in 360,

  Kwenye upande wa graphics in HDMI x box anamzidi ps3 especially baada ya support kubwa from ea sport which is also from america kwenye game za mwanzo as mass effect, hallo but baadae ps3 akaja kwenye competition ya graphics baada ya sony computer entertainment kuingia kazini na ku release ps3 x clusive game zinaonyesha ps3 graphics capabilities as gran tourismo 5, God of war 3, metal gear solid 4 and a lot others..

  Na hii iliwachanganya sana developers wengi baada ya kugundua kumbe ps3 ina nguvu kiasi hiki kwenye graphics wakaanza nao kujoin kutengeneza games for ps3 as inauzika sana sokoni japokuwa walianza kwa x box 360 tu ndo hapo tukaona Mass effect 3 on ps3 na nyinginezo

  Binafsi I have ps3 but my neighbour has 360 so I used both of them anytime I want as we x change to each other, ukitaka kujua nguvu ya ps3 lipia broadband ya ttcl as ndo internet yenye spidi nzuri tanzania achana na vi modem vya tigo sijui airtel kisha ingia playstation network uone online ya sony inavyobadilika daily..

  X box live ni nzuri but sio bure unalipia while playstation network is free,

  Also nawakubali x box kwenye controler as pad ya 360 ni nzuri hata ikakaa mkononi kuliko dual shock 3 which used by ps3.. Haiumizi vidole hata ucheze mda mrefu wakat ps3 haifit hand size iko vile vile toka ps1,

  So kwa maoni yangu ps3 anamzidi 360 kwa vitu vichache although alichokosea sony ameiandaa ps3 kutumika katika tv za kisasa yaani HDMI and some 3ds tv kiasi cha ukiicheza kwenye tv za kawaida standard tvs inakuwa mbaya kama ps2 wakato x box 360 imeandaliwa kwa tv yeyote, graphics zinakuwa nzuri,

  Also tukatae tukubali x box 360 ni bei ndogo kuliko ps3 popote duniani lakini bado ps3 inauzika kuliko 360,

  Pamoja na ubishi wangu wote kwamba ps3 ni nzuri, ila nakubali katika ushindani wa video games console WII ndo baba yao maana creativity iliyofanywa kwenye nintendo WII si mchezo ndo maana anawakimbiza sana sokoni
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Ila kaka control za wii kama remote zile appearence yake, zimefanyiwa research baada control za zamani kufail.

  Control zilizofail muundo wake ndo kama ps2, ps3, za pc ukicheza sana kunauma katikati ya kidole gumba na kidole cha shahada

  Ila hizi za wii mpya haziumi, japo muundo hauvutii ila ni research yao kumfanya mtu aspend mda mwingi kucheza game
   
 20. danali

  danali JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 808
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 180
  nimeipenda hi mada ila na mem nahitaji kufaidika je vp khs garama za vifaa vyao exmpl controler, cd... Nk
   
Loading...