X wangu anataka turudiane

Ninaweza kua nimekupenda kweli, nikakuzingatia mambo madogo madogo ila hivyo vizinga vikianza kuzidi sifuri aloo upendo hushuka kwa kasi mno.

Pesa yangu inaniuma sana kuhonga aisee, yaani umpe pesa kama unamlipa na hamna kazi anafanya. Nivuje jasho halafu nije kumpa mtu pesa hivihivi, na bado bed wewe tena ndo uvuje jasho aridhike yeye.

Mapenzi ya upande mmoja hayo.
 
Umaskini haupo hapo, ukiwa tajiri mjinga hakyanani utaishia kuliwa pesa tu kwa uzumbukuku.

Katoto kama hako kakupangie ukape bei gani kwa wiki, sijui kwa mwezi. Uanaume wako unakua wapi hapo aisee.
 
Umaskini haupo hapo, ukiwa tajiri mjinga hakyanani utaishia kuliwa pesa tu kwa uzumbukuku.

Katoto kama hako kakupangie ukape bei gani kwa wiki, sijui kwa mwezi. Uanaume wako unakua wapi hapo aisee.
Umekurupuka, mimi nasema jamaa hajiamini alipaswa ampige chini hiyo fala achukue kitu kipya
 
Kabisa mkuu inashusha mood sana
 
Je Bibi yako Mzava mama/baba kila wiki unamtumia iyo PESA Kama iyo? Na mama n baba Yako?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…