X wangu ameolewa lakini haipiti wiki lazima anitafute kwenye simu

Mapenzi ya kuibia ibia ni matamu sana

Goli linakuwa tamu alafu la motoooo

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ila risk sana mkuu

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
 
Huwa najisikia vibaya sana anavyonitafuta, na nilishamkanya aache tabia yake lakini hasikii. Huwezi amini kwa mara ya kwanza allinitafuta yuko fungate.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App

nimekupata,

ila jua tu kuna wanaoenda kabisa 'kuagana' siku moja kabla ya ndoa

tatizo sababu za kuachana zinakuwa za kitoto kiasi kwamba watu wanaolewa kwa sababu nyingine tofauti na mapenzi ya kweli

matokeo yake wanakuwa bado wana moto na wapenzi wao wa zamani, ivo, sasa kama wewe uko serios block namba yake ili asiweze kukupata kirahisi na aweze kukusahau
 
KWANI TATIZO LIKO WAPI MKUU??ACHA TAMAA NA WAKE ZA WENZIO
Mimi sijamtamani, wala sina time nae.
Shida ni yeye anahangaika kupiga sim, na akipiga sim missed calls 21, sms 7.

Nahisi mumewe hamfikishi.


Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
 
Ww mwenywe ndoa yako
N changa na utakua under
25 co bure

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
...naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea simu zake??

Jibu la hili swali unalijua fika. Hakuna madhara kwa kuwa ni simu tu. Ila swali ulilotaka kuuliza ila huna guts ni hili "kuna madhara yoyote kuendelea kumla"? Na jibu lake lipo kwa post #2
 
Mimi sijamtamani, wala sina time nae.
Shida ni yeye anahangaika kupiga sim, na akipiga sim missed calls 21, sms 7.

Nahisi mumewe hamfikishi.


Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
Inaelekea uko bomba SAS kwanin mlitengana

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hebu jaribu kutafakari katika namna hii...

Mke wako huyo uliyenaye anajitahidi sana kumtafuta/kutafutwa na ex wake na huwa wanachat...

Sasa wewe ukiwa kama mumewe unalionaje hilo?

Ukiweza kujibu hilo swali basi utakuwa umepata ushauri wa nini cha kufanya kwa huyo chaupele wako wa zamani...

Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena ndoa yake ni changa.

Naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea simu zake??
 
Mke wa mtu hivi anawezaje kuchat na jamaa vitu vya ajabu eti jamaa anamwambia anampigia push up na kumlia dona yeye anacheka cheka tu na kukaribishwa kwa jamaa anafumwa anapunguza ghafla wanawasiliana na jamaa kwa siri unagundua baadae unambana anakwambia jamaa kashawahi mkiss tu ila sio kumla mzigooo siku zinaenda ghafla jamaa anampigia simu wanaongea zaidi ya robo saa baadae anakwambia ss ningemkatiaje simu.

Sent from my HTCD200LVWPP using JamiiForums mobile app
 
1562013

Anayewashwa na nyege, anataka mkenyenge
Utamu kupita embe, uwe mamba sio kenge
Wa kumtoa mawenge, hali nzuri umjenge
Paka kamasi apenge, ila kwake aje ende
Sasa kapata mdingi, wa maishaye msingi
Kuchubuana si kwingi, kawa kwinikwake kingi
Hajavi sahau vingi, mlivyofanya kipindi
Mmevukana vigingi, bila hata ya shilingi
Kashindwa fanya uongo, kwa hamuye ya muhogo
Apate japo kidogo, aondoe lake zogo
Mpe wa kumpendeza, sio wa kuteketeza
Ule wa kia la pweza, usifanye kumbeza
Mpe mpe kuagana, mwambie anaye bwana
Siku zenu za ujana, kesho kaseme hapana
Mpe halo ya kwa heri, mpande ka basikeli
Mnyonge kwa kiu kweli, pate pasi siyo feli
Mpe kisha mkimbie, sije kula vya wenzie
Aishie kwa dadie, asijeshusha hadhiye
Kwa kuendekeza sie, kutaka aulalie
Mpe aondoe inda, kabla kupata makinda
Mpe uache kudinda, kirumeni hutaringa
Mpe kwani ametaka, kakukumbuka mkaka
Roho itoke mjaka, mpe weka na mpaka
Mpe paka sema basi,usije pigwa risasi
Mume wake wa kisasi, asije kutoa kasi
Kama una maadili, kama unazo akili
Kama waweza fikiri, stahamili za mbigiri
Sema ushauri wangu, unawafaa machangu
Na kwa staha za tangu, upuuze baba yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom