X wangu ameolewa lakini haipiti wiki lazima anitafute kwenye simu

kuna mangi kasema ni scraper kwaajil hana mshiko sasa nauliza km ex wako alikua na mshiko kwann mliachana nae!?

ukiona hivyo ujue hakukuwa na sababu za maana za kuachana au hiyo haikuwa sababu rasmi, ivo mrs air (maana yake nini hii jina)
 
Siku hizi watu wanatobolewa kwa spoko unakuwa hufanyi kazi yaani hata huyo mkeo na wewe hamtakuwa tofauti
 
sasa km ana pesa kwann muachane!
Kuna manzi nilidate nae kwa miaka 3, tumeachana mwaka sasa, lkn yule mtoto aliniambia hata tukiachana na akaolewa hawezi nisahau maisha.

Tulizinguana kwa ishu moja serious, nina mwingine nw na yeye kashapata mwenzie.

lkn mpk kesho hua tunaibia gegedo.

Unajua kuna vitu ukimpa mwanamke na akaenda kuvikosa lzm akutafute tu.

Mtoto nikimgegedaa inabidi niwe na kitambaa nimzibe mdomo wake tena kwa nguvu.

Juzi nimempa show ya nguvu huku anajutia kunifahamu, anawaza akifunga ndoa itakuwaje?

Siwez kurudiana nae kozi ni mjeuri kidogo, na mimi si unajua ni Mangi, napenda sana kusujudiwa na kuogopwa, nahisi ninaweza kuja kuuwa nikimuoa
 
hahahhaa serious mie haijawah nitokea nikaachana na men alafu nikarudiana nae huwa nahis sitakuwa na hisia nae tena! yaan najua kbs huyu hana jipya kwangu!khaaaa! labda na nyie mnakutanaga na vimeo zaidi! mie nina bahat ya kupanda DARAJA kila napotemana na mtu so inanisaidia sana kutokumbuka ya nyuma aic!hongera!
 
Mke wa mtu au mme wa mtu mnachati nn kama sio kukumbushiana tna mlikuwa wapenzi ila ukijua ndoa n nn utaacha

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
hahahhaa serious mie haijawah nitokea nikaachana na men alafu nikarudiana nae huwa nahis sitakuwa na hisia nae tena! yaan najua kbs huyu hana jipya kwangu!khaaaa! labda na nyie mnakutanaga na vimeo zaidi! mie nina bahat ya kupanda DARAJA kila napotemana na mtu so inanisaidia sana kutokumbuka ya nyuma aic!hongera!
Mrs air bhana

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
hahahhaa serious mie haijawah nitokea nikaachana na men alafu nikarudiana nae huwa nahis sitakuwa na hisia nae tena! yaan najua kbs huyu hana jipya kwangu!khaaaa! labda na nyie mnakutanaga na vimeo zaidi! mie nina bahat ya kupanda DARAJA kila napotemana na mtu so inanisaidia sana kutokumbuka ya nyuma aic!hongera!
Ndio maana nasema umepitia mapenzi ya hovyo.

Hukupata kinatopaswa kupatiwaa ktk penzi.
Mimi lzm nikidate ma ww cha kwanza kujua ur weakness, hapo ndo nacheza napo.

Alafu najitahidi kukuaminisha, no man like me!!
Bibie hujapata kichaa ww
 
Mbona binadamu hatuelewi?!mbona unajitafutia matatizo mwenyewe?!
 
si umblock km unaijali ndoa yake! hv kwann huwa ma x mnaanzaga kuwasiliana ! ukweli mie huwa sielew! sasa kwann mliachana km mnapendana namna hyo nakila mtu kaoa/kuolewa!khaa! mie haitakaa itokee ex ni SCRAPER TU! hakuna namna!
Nilishamblock whatsapp akahamia kwenye sms za kawaida

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
 
wewe binafsi unajisikiaje, upokee ama la?

Ujue ukijaribu kuwaelewa wanawake, hutakaa uweze hadi unaingia kaburini. sasa tumia akili yako ya kuzaliwa
Huwa najisikia vibaya sana anavyonitafuta, na nilishamkanya aache tabia yake lakini hasikii. Huwezi amini kwa mara ya kwanza allinitafuta yuko fungate.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom