X wangu ameolewa lakini haipiti wiki lazima anitafute kwenye simu

Ukikamatwa wewe unajua nini kitaendelea, futa, delete, hata format simu, kuna siku utapitiwa tu.
Niko makini kaka. Nafuta immediately baada ya kusoma.
Msg zenyewe hazina shida kwangu kwa sababu ni maneno tu, hakuna hata moja yenye matendo, lakini najua mwenzie akiziona siyo rahisi kunielewa hata nikimueleza vipi. Na huyu X sitaki kumuumiza kwa kumkataza kuongea, namsikiliza na kumshauri. Najisikia kama nina deni kwake kwa sababu nilimuumiza zamani, sasa yalishapoa sipendi aumie tena.
Yeye ndiye bingwa wa kuandika msg, mimi nikiwa na la kujibu nampigia.
 
Kama ni makosa, hutakiwi kuficha, unatakiwa kuacha, STOP THAT, move forward .... yeye naye kaolewa, kuna siku atapitiwa hata sent texts zitaonekana. UTASHIKWA TU SIKU MOJA, KAMA HUAMINI KEEP MY contacts.
 
Sijui tafsiri yako ya hatari ni nini?!

"People who failed to achieve something in life think social media is a popularity contest to score cheap points." ~ Mzilikazi wa Afrika
 
Kama ni makosa, hutakiwi kuficha, unatakiwa kuacha, STOP THAT, move forward .... yeye naye kaolewa, kuna siku atapitiwa hata sent texts zitaonekana. UTASHIKWA TU SIKU MOJA, KAMA HUAMINI KEEP MY contacts.
Hakuna msg za kutongozana wala kupanga zinaa. Lakini najua wanawake wana wivu, ndio maana nikasema ni sheedar! Mtu anaweza kukasirika tu kuwa "kwanini akuambie wewe? wewe ni nani ake?" Na maswali kama hayo.
 
I can't Judge, I just advised my brother, if its wrong, and it doesn't have value to you, ACHA! basi! sisi ni wanadamu, feelings can be developed with time, that is all I am saying.
 
Sio smart sana kuendeleza mawasiliano.

Kama mna biashara pamoja sawa, kama ni longolongo za kukumbushia zamani kwa kisingizio cha "Salamu Haitii Mimba", achana nae.

Tofauti na hapo utakuja kubahatika kuwa MUHENGA MAMBOLEO utakayesema " Asiyesikia la Mkuu, Hupakwa Mafuta"

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
hahahahaha hii Tecno sio
 
Jamani hamjambo,
(napenda in mkulu voice).

Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena ndoa yake ni changa.

Naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea simu zake??

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
Mpigie simu mume wake umuulize au muulize mke wangu,hakika utapata jibu sahihi kabisa.

Sent from my Ultra using JamiiForums mobile app
 
Na huyu X sitaki kumuumiza kwa kumkataza kuongea, namsikiliza na kumshauri. Najisikia kama nina deni kwake kwa sababu nilimuumiza zamani, sasa yalishapoa sipendi aumie tena .
Kwa maneno haya, hatima ya ndoa yako ipo mikononi mwa ex wako. Hutaki kumuumiza ex wako, are you sure unayoyafanya hayatomuumiza mkeo? kwa nini mnajali sana hisia za waliopita kuliko za mlionao? Kama mliumizana yakaisha, bado unaendelea kujihukumu kisa nini? Utaishi kwa kuogopa kumuumiza hadi lini? Endelea kumuentertain till mazoea yenu
yatakapojenga tabia afu uje uone madhara ya unachokifuga. STOP IT BEFORE IT'S TOO LATE
 
Don't worry, nothing fishy going on. Namshauri mambo ya kawaida yanayomtatiza, na ninafanya hivyo anaponiomba tu. Nafanya kwa nia njema na kwa kukumbuka nilikotoka naye. Lakini kama nilivyosema, I'm careful nisieleweke vibaya kwa mwenzangu nyumbani, I love peace.
 
Agreed, ila ndugu sisi tuna madhaifu kwenye familia, naweza mwona mke wangu ana madhaifu Mengi ambayo X hakuwa nayo .... unapo entertain mawasilano na X feelings zaweza kuwa developed, that is all, ila uwezo wetu unatofautiana so pengine wewe upo tofauti.

We're all human being. We're not perfect. Kila mtu ana madhaifu yake. Pia madhaifu yanatofautiana from one person to another. Ndiyo maana unamwona mke wako ana madhaifu mengi ambayo X hakuwa nayo. Lakini sidhani kama madhaifu yake yatakufanya umrudie X wako unless kama bado una feelings nae.

Halafu naona kama umeangalia madhaifu ya mkeo in comparison of your X. Mkeo hana strengths/positives zozote? Look at what is going well between you and your wife, what you are worried about (madhaifu), then what you need to do next to deal with the worries.
 
Kwani huwa mnaongea nn cha maana au ndo yaleyale

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna kawimbo kanasema ''..........unachokitafutaaaa utakipataaa sababu unaniaaa ya kuliwaaaa
 
Ushauri wangu tafuta namba isiyo yako mpigie akiwa eneo tulivu mueleze kinaga ubaga hutaki mahusiano hayo na akiendelea utamwambia mumewe ,kawaida atajaribu kurudia ,nakusihi mtafute shangazi au mama yake mkae naye kitako muelezee atathibitisha uko serious ...baada ya hapo funga walau siku mbili ukitubu na kumuomba mungu akupe nguvu likupite jahanamu hilo...zidisha mapenzi kwa mkeo .
Huku duniani huwa malipo ni hapa hapa ukipita nae nakuapia jamaa hatakukamata ila hakika kuna mtu atapata mwanya wa kumnyonyoa mkeo na kibaya mungu halipi kwa siri utajua na utakosa ushahidi hutamwacha ila ni mwanzo wa kuua ndoa yako.MUNGU alisema ''ndoa na iheshimiwe na watu wote'' endelea kumjaribu ...JAZA UJAZWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom