X wangu amemuita mwanae jina langu

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Habari wakuu,

Kuna kitu kimenishangaza, kuna jitu tuliachana nalo, nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.

Hivi ni halali kweli hata kama sina hati miliki ya hilo jina?
 
labda mlikuwa wawili enzi hizo na majina yalikuwa yanafanana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…