talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Salam wanataaluma wa ukurasa huu.
Natanguliza shukurani. Kama ilivyoada jf imekuwa kimbilio langu kila ninapopata tatizo. Nategemea kuwa nitapata msaada
www.coastviewresort.co.tz ni iliyokuwa link ya website ya ofisi yangu. Ila mwezi wa kwanza ikapotea ghafla na kila inapotafutwa haionekani. Kwakweli sifahamu imekwenda wapi. Ila nikiri kuwa aliyenitengenezea website hii sina mawasiliano nae tena.
website ni ya hotel/resort. Pamoja na kuhitaji kuwekewa vitu vipya na hata kuangalia booking na hata kuweka updates za room's availability, website hiyo haikuweza kufanya hayo. Niseme tu ilikuwa sio dynamic website. Sasa naomba mnisaidie majawabu na njia nzuri juu ya haya yafuatayo;
1. Je, naweza kutumia link ya namna hiyo tena?? "Maana business partners wote wanaifahamu hiyo"
2. Kilichopelekea kutoweka kwake ni kipi??
3. Je, naweza kupata website dynamic na yenye features nilizoainisha hapo juu na zaidi??
Ahsanteni sana wadau nataraji majibu yenu
For; Coast view resort. Email: coastviewresort@gmail.com