cornerstone
Member
- Aug 19, 2012
- 20
- 3
Yes cornerstone, ndo hiyohiyo, nakumbuka ilikuwa mwaka 2001 July.
kumbe umeanza kutumi jana jioni sakapal wangu, ila kama unajimudu miliki simu usijefuga mbwa ukitegemea matapishi ya jirani kama baadhi ya kina dada wa mjini kila saa nitumie hata mia tano sasa mia tano ni hela ya kuomba kwenye simu kweli. maani mimi mwenzio nilinza na tritel enzi hizo nilikuwa naogopa kweli kuibonyeza maana kila dakika ilikuwa inajilock naenda kwenye ofisi zao bibi titi road pale unakuta foleni maana enzi zili tulikuwa tunaenda kulipia muda wa maongezi kwenye ofisi basi utakuta msururu wa wateja wengine tunalalamikia mabo ya kijinga kweli ushamba ni gharama