Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
Ya tatu toka kushoto
Ya tatu toka kushoto
Mi nilianza na siemens (twanga pepeta mayai) way back in year 2000. Siioni hapo picha yake
kumbe umeanza kutumi jana jioni sakapal wangu, ila kama unajimudu miliki simu usijefuga mbwa ukitegemea matapishi ya jirani kama baadhi ya kina dada wa mjini kila saa nitumie hata mia tano sasa mia tano ni hela ya kuomba kwenye simu kweli. maani mimi mwenzio nilinza na tritel enzi hizo nilikuwa naogopa kweli kuibonyeza maana kila dakika ilikuwa inajilock naenda kwenye ofisi zao bibi titi road pale unakuta foleni maana enzi zili tulikuwa tunaenda kulipia muda wa maongezi kwenye ofisi basi utakuta msururu wa wateja wengine tunalalamikia mabo ya kijinga kweli ushamba ni gharama
Ni mobile phone, nilinunua simu ya kwanza kama sikosei ilikuwa 1992 au 93. Kwa nini una mashaka nayo lakini? Unakumbuka simu za wakati huo zilikuwaje? Kwa taarifa zaidi angalia hapa:Mkuu Dingswayo hii simu si ya ndani ya nyumba?au Ofisini?Sio simu ya mkono hahhahahah ndio uliyokuwa unamiliki wewe?
Hatujapishana sana mie nakumbuka line nilinunua pale j m mall zamani ilikuwa score supermarket na line niliinunua kwa shilingi 13,500/- ukichanganya na vocha wakati huo ilikuwa inauzwa kwa dola na ya chini ilikuwa dola 5 kulikuwa na foleni kama ya watu 20 hivi n\ mie nilikuwa wa 13 daah sitasahau na line yenyewe ilikuwa ya vodacom. Thanx for bring back the memories.
Mi nilianza na siemens (twanga pepeta mayai) way back in year 2000. Siioni hapo picha yake