yu mean this baby?
Siemens c25 nimeitundika kiunoni hahahahaaaa umenikumbusha kuna jamaaa nilimuomba nim-bipu kaka ili anipigie jamaa akanijibu kuwa simu yake haina button ya kubipia.....I can not forget this till i die
Mpwa huyo jamaa katili sana !
ni mmasai mmoja hivi anaitwa Ole alienda akauza vimbuzi vyake akanunua simu akawa anahangaisha watu
Siemens c25 nimeitundika kiunoni hahahahaaaa umenikumbusha kuna jamaaa nilimuomba nim-bipu kaka ili anipigie jamaa akanijibu kuwa simu yake haina button ya kubipia.....I can not forget this till i die
nimecheka mpaka basi
kama namuona "hii haina button ya kudipi"!
Watu wenngine bhana, yaanoi baada ya kunione huruma wewe unanicheka, na mimi sikupi tena ule "mchi" ulioniomba juzi
ukininyima najua pa kuupata.
ntakuchapa ujue, mie staki mtu m'bishi