Wrong number

Wrong number

kutungwa kivipi
HUO NI WIMBO BABU tizama uzi wewe
aliimba linah na barnaba umejawa na chuki bila sababu

Pay attention.

Mimi sikuwa nauliza kuhusu wimbo.

Nilikuwa nauliza kuhusu takwimu zako za 90/10.

Nimekuuliza umezitoa wapi nawe ukajibu eti umezitoa kwenye 'simu'.

Hahahaaaaaa hilarious.
 
ndo maana huwa na namba ya njia kuu na mchepuko ana namba yake hakuna kufungana...cm ya mchepuko inakaa hewan mara moja moja.
 
Kuna siku mchepuko wangu uliniwhatsapp, mama mtu si akaona bwana eti nikajitetea huyo ni bibi yangu.

Ilibidi mama mtu acheke sana yaani huyu ni bibi gani
 
mi ndio maana najiwekea password tu...hayo yote hayawezi kunikuta!!
 
daaah hii mada ni kama ya kawaida ila ni kali sana,,, mi kuna misala hua inanitokea sometimes nabambwa na meseji zinazojieleza vizuri kabisa sasa jinsi navojinasua nafkiri hua ni miujiza tosha asee.. kama vipi weka uongo wa kijinga uliowahi kutunga na ukaeleweka baada ya kushikwa na meseji, itakua poa sana!!
 
Back
Top Bottom