wanaume wanadanganyika vibaya au wanawake ndio wanadanganyika vibaya?kweli tena mpo tayari kuwafata popote walipo. Wanaume mnadanganyika vibaya.
Unakuta missed call.
Unaamua kumpigia.
Then unasikia sauti ya kike upande wa pili ikikuuliza ww ni nani?
Unamjibu: nimekuta missed call yako ndo maana nimeamua kukupigia.
Anakuambia: mi sikumbuki kukupigia na wala simjuwi ni nani aliyekupigia.
Unamuambia: basi kama vipi, ww ipotezee tu hii namba.
Si ndiyo yaishe, basi unamkuta dada haridhi anataka umuambie ww ni na uko wapi. Thats why wrong namba nazisave for a while ili ikitokea kunipia tena, namuambia ww si ulikosea namba, inakuaje unajidai umekosea mara ya pili?
Wengine tupo kama hivi.
huu sio ulimbukeni....
men are hunters inaeleweka hiyo
sasa wrong number inapoingia ni sawa na swala kakosea njia kaingia maeneo ya chui...lazima
huyo swala akaguliwe kuona afya yake vipi?analika?
its all about curiosity....hivi ikitokea wrong number imesababisha ukaja kutoa posa je?tutaitaje hiyo???
So mkuu una maana wadada wengine wanakuwa wanayo no yako bt wanatafuta jinsi ya kukuingia?
This is great bro..nimeipenda hii line "men are hunters"huu sio ulimbukeni....
men are hunters inaeleweka hiyo
sasa wrong number inapoingia ni sawa na swala kakosea njia kaingia maeneo ya chui...lazima
huyo swala akaguliwe kuona afya yake vipi?analika?
its all about curiosity....hivi ikitokea wrong number imesababisha ukaja kutoa posa je?tutaitaje hiyo???
Usipuuzie wrong no,uwez jua muumba kakupangia nini,anaweza kuja kua mamisapo wako.fatilia kwa umakini,usisite kuondoa dukuduku lako kama sauti imekuvutia.tujenge tabia ya kuwauliza maswali na kuwaweka karibu.