Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 520
Kwanza elewa wrestling hautambuliki kama sports ni entertainment.Ndo maana kwenye olympic haumo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kwani golf hipo..
Kwanza elewa wrestling hautambuliki kama sports ni entertainment.Ndo maana kwenye olympic haumo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kwenye kupigana kurushana na kuumizana hawa jamaa wala hawa act wanachapana kikwelikweli.Wanaosema fake mmeshashuhudia live ama ni kwenye tv tu? Samtimz you need to see and witness utakua ktk nafasi nzuri ya kutetea hoja. Walikuja na huku Oz, sio fake am sure la sivyo mzungu asingetoa $ aingie
kwenye kupigana kurushana na kuumizana hawa jamaa wala hawa act wanachapana kikwelikweli.
Nalog off
hahaha ni kweli mkuu binafsi nililipá Rand 170 ili kwenda kujionea mwenyewe.Nalog on
Umeona eh? Nimeshuhudia pipo are craving for tickets kwenda wrestling arena Sydney. Mtu akakae aangalie fiction? Basi hata Justin Beiber anakuja fake next week.
We should be realistic sometimes
Kweli KakaJambazi... Huwa nakeleka na hizi shoo mbovuHata bongo fleva huwa wanazuga wameshika mike kumbe imezimwa na mnatoa hela na kuimbishwa.
kama ni fake kamuulize Bryan Michael kilichomvunja shingo alipo kutana na kane