Wow! Finally Snow Leopard on my PC

Unaweza kutumia software za pc kwenye mac kama una macwindow au vmware kaka
 
Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa.

:ranger:

Umetumia njia ipi mkuu? Mimi pia nataka kuweka kwenye Desktop yangu Model yake na maelezo yake ni haya hapa chini

OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate
Version 6.1.7600 Build 7600
Other OS Description Not Available
OS Manufacturer Microsoft Corporation
System Name MziziMkavu-COMPUTER
System Manufacturer BIOSTAR Group
System Model P4M900-M7 FE
System Type X86-based PC
Processor Intel(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06GHz, 3066 Mhz, 1 Core(s), 1 Logical Processor(s)
BIOS Version/Date Phoenix Technologies, LTD 6.00 PG, 2/24/2009
SMBIOS Version 2.4
Windows Directory C:\Windows
System Directory C:\Windows\system32
Boot Device \Device\HarddiskVolume1
Locale United States
Hardware Abstraction Layer Version = "6.1.7600.16385"
User Name MziziMkavu-COMPUTER\MziziMkavu
Time Zone GTB Standard Time
Installed Physical Memory (RAM) 3.00 GB
Total Physical Memory 3.00 GB
Available Physical Memory 1.35 GB
Total Virtual Memory 6.00 GB
Available Virtual Memory 4.03 GB
Page File Space 3.00 GB
Page File C:\pagefile.sys

UMETUMIA NJIA GANI KUWEKA HIYI
Snow Leopard on my PC ? MIMI NINAYO DVD YA HIYO LAKINI INANISHINDA KUWEKA NAOMBA UNIFAHAMISHE NAMNA YA KUIWEKA HIYO

Snow Leopard on my PC ASNTE MKUU . KWA SASA NATUMIA Microsoft Windows 7 Ultimate ASANTE.
 
Last edited by a moderator:

Kwanza download CPUZ http://rapidshare.com/files/437067854/CPUZ.By.Prateek.rar uweze kujua kama Computer yako inasupport SSE2, SSE3 najua itakuwa inasupport tu. Pili hiyo OSX DVD yako ni bootable? Kama ni Bootable basi cha kwanza ni kutumia CPUZ kujua specification za mashine yako kisha jua Driver zote za mashine yako kama Sound drivers, ICH support, Network drivers, kama ni SATA au IDE kisha turudi tuendelee kujadiliana mpaka utafanikiwa tu au vp? Anza na hivyo kwanza....
 
Unaijuwa waweza kutufahamisha namna ya kuiweka? unatumia njia gani? na bila ya kuweka Driver za Macintosh Operating System OSX? hebu jaribu kutufahamisha weak wazi basi

Wengine wanajua kwenye MAC Original sio Hacking MziziMkavu, Hacking OSX ni kazi kweli, twende polepole hatimaye utafanikiwa tu. Mi nilianza toka OSX 10.3 Panther kipindi hicho tunatumia Darwin x86 ikirun juu ya Windows XP kwa kutumia Virtual disk, baadae nikatumia VMWARE mpaka nikafanikiwa kuisimamisha yenyewe kwa msaada wa Developers websites.

Nataka wabongo tuijue hii pia ili tubadilishane mawazo kimatumbi
 
Hatimaye baada ya majaribio takribani 1000 nimefanikiwa kuingiza OSX 10.6 Snow Leopard kwenye Dell Optiplex 380 ikifanya kazi vyema kabisa.

:ranger:
Hongera sana mkuu, hayo ndio mabo tunapenda kusikia na kuona...!

Sasa mkuu inabidi ufanye documentation ya jinsi ulivyofanya... kwani inaweza kukusaidia siku za baadae pia.
 
Hongera sana mkuu, hayo ndio mabo tunapenda kusikia na kuona...!

Sasa mkuu inabidi ufanye documentation ya jinsi ulivyofanya... kwani inaweza kukusaidia siku za baadae pia.

Kesho nitaweka PDF file ya jinsi nilivyofanya ikiwa na screen shots kama msaada kwa wengine ndo naiandaa
 
Kesho nitaweka PDF file ya jinsi nilivyofanya ikiwa na screen shots kama msaada kwa wengine ndo naiandaa
Mimi nakushauri kwanza, fanya majaribio kwenye PC kama tano hivi kwa uchache kabla ya kuweka adharani jinsi ulivyo fanya... Ni ushauri tu.
 
X-PASTER nishajaribu kuweka OSX kwenye computer nne mpaka sasa kwa mafanikio, nishaweka kwenye Epro P4M800, Dell optiplex 760, Dell optiplex 170L, Dell optiplex 380 ya sasa. Nataka kujaribu kwenye Laptop kwa sasa naamini nyingi zitakubali hasa zenye graphic card za ATI na geforce kwa sababu ni compatible na OSX
 
Haiji huku kwenye PC's hii ni maalum kwa Mac's tu. Hivyo hata huu utaalamu wa kuiingiza kwenye PC's ni utundu binafsi hasa kama huwezi kununua Original Mac maana ni ghali. Mfano G5 tower inasimama kama 4 mil za kibongo sasa mi nina G5 tower ya PC (Dell Optiplex 380 with full speed ahahahaaaaaaaa) kwa gharama ya 900,000 tu tena inakimbiza kuliko G5 Tower original maana naitumia original nikiwa ofisini
Kwa hiyo mwingine akitaka umfanyie huo utundu gharama zake ni kiasi gani dugu,kwani Mac kaka si kwa wote tunaweza kuingia kwenye anga zao has ukitilia maanani tunaishi chini ya dola 1 kwa siku
 
X-PASTER nishajaribu kuweka OSX kwenye computer nne mpaka sasa kwa mafanikio, nishaweka kwenye Epro P4M800, Dell optiplex 760, Dell optiplex 170L, Dell optiplex 380 ya sasa. Nataka kujaribu kwenye Laptop kwa sasa naamini nyingi zitakubali hasa zenye graphic card za ATI na geforce kwa sababu ni compatible na OSX
Nilikuwa najiuliza hivi huwezi kuweka OS mbili kwenye PC moja, kwani ninavyojuwa mimi Computer za Mac, unaweza kuweka windows XP, na ukawa unachaguwa OS ya kutumia...!

Je haiwezekani kwa PC kuwa na OSX na Windows kwa pamoja!?
 
sasa kaka nitaipataje hii kitu??

macosxsnowleopardbox.jpg

Change log Ver.2:
- IOATA and RTC panic problems on some 945 and 965 motherboards
solved.
- 32-bit RTC package added for those problematic motherboards.
- AppleIntelPIIXATA Non-AHCI SATA driver that supports 6 ports added.
- Language packs updated to 10.6.3 version since they were from 10.6.0
and they caused some annoying bugs, so they are ok will be ok by the
upgrades from now (except the Turkish language which is not supported
by Apple).
- VoodooHDA upgraded from 0.2.2 to 0.2.6.1.
- Intel Pro V100 ethernet driver updated. Now it is 64/32 and working good.
- Marvell 88E8038 ethernet support added.
- Kext Utility updated to 2.4.2 version which works better.

REQUIREMENTS
- Intel support SSE2/SSE3
- 512 MB RAM
- 128 MB Graphics Card
- 15 GB of free disk space
Recommended:
- Processor Intel Core
- 1 GB RAM
- 15 GB of free disk space
- "SnowLeo-compatible" nVidia 6600 or higher / ATI X1300 or higher / Intel GMA 950 or X3100 graphics card.

iatkos.jpg

screenshot20100612at656.png

screenshot20100612at657.png

screenshot20100612at657.png

Download iAtkos S3:

Code:

Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part01.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part02.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part03.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part04.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part05.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part06.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part07.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part08.rar
Hotfile.com: One click file hosting: iATKOS_S3.part09.rar

Download Update 10.6.5:
Code:
Hotfile.com: One click file hosting: 10-6-5.part1.rar
Hotfile.com: One click file hosting: 10-6-5.part2.rar
Hotfile.com: One click file hosting: 10-6-5.part3.rar

Enjoy

NO PASSWORD

Usikose kubonyeza hapo (Thanks)
 
Vipi mkuu ulishafanikiwa?
 
Vipi mkuu ulishafanikiwa?
Sijafanikiwa Mkuu,nilikuwa nangojea wewe utatuwekea kama hiyo niliyoweka mimi hapo juu lakini ninakusubiri mpaka sasa hujaweka mimi ninayo DVD MAC OSX LEOPARD 10.5.1 INTEL na pia ninayo Hard disk yake pembeni tofauti na ya Windows 7 ninayotumia tatizo nikiweka

hiyo DVD ya MAC OSX LEOPARD 10.5.1 INTEL kwenye DVD Driver yangu huwa haisomi hayo Mafaili yaliyopo kwenye DVD ya Mac OSX Leopard nitawezaje Ku Install kwenye Computer yangu? Nataka Windows 7 iwepo na hiyo MAC OSX Leopard pia iwepo lakini mpaka sasa nimeshindwa kuiweka hiyo

MAC kwenye Computer yangu je waweza kunipa Detail zako ulitumiaje mpaka ikakubali hiyo MAC OSX LEOPARD kwenye Computer yako? Nitashukuru ukiweka wazi ni njia gani ulizotumia? asante mimi sipo hapo bongo nisaidie inaniumiza sana kichwa hiyo MC OSX Leopard.
 
Poa nimekusoma mkuu MziziMkavu, ngoja nikiwa kwenye computer ntakutumia jinsi nilivyofanya hapa natumia simu. Hiyo 10.5.1 nadhani ni Kalyway mi nina nyingi kweli i PC, iAtkos, iDeneb, Hazard. Sasa ingekuwa vyema tukiwa wote online ili twende hatua kwa hatua na nijue DVD yako ni ipi kati ya hizo, lazima utafanikiwa tu. Ila kama utataka ku-run windows 7 na OSX napendekeza iAtkos v.7 10.5.7 au iAtkos S3 10.6.3 halafu uchague bootloader ya Chameleone v2 kwa sababu wakati wa kuboot itakupa option ya kuchagua os at the first step
 
Back
Top Bottom