Would you marry a certified gay or lesbian? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Would you marry a certified gay or lesbian?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Apr 14, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Marriage is a union between man and woman. However, due to civilization, people of same sex now have feelings for each other and they practice homosexuality or lesbianism. If you discover that someone you want to marry is engaged in such an act, would you go ahead to marry him or her?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hell NO, NO, NO, NO, NO!
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Where do they get certification to become homosexuals? I did not know about that....however, I cant marry a lesbian maana najua kesho atarudi kule kule alikozoea.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Khaaa! Sasa kama anavutiwa na wa jinsia yake kwanini atake kuoa/kuolewa na wa jinsia tofauti? Hapana kwa kweli.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  a big, a huuuuuuuuuuuuuuuuuge
  NO!!!!!!!!!!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Civilization as you have called it...how does it allow same sex marriages? Au ni matatizo yetu ya akili tu!
   
 7. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Boflo!! Nimeijua nilipoenda Zanzibar. Bara hakuna Boflo.
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umeona??? Bara wanajuaje???

  Umeona ladha yake!!
   
 9. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Big NO! cause lazma kuna cku atamiss aliyokua akifanya so atayaendeleza tu kwa kuibia..
   
 10. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nchi nyingi wanatoa certification.....haulijui hilo??
  Ndio maana na hapa Tanzania wanadai haki zao za msingi
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Boflo..........................
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haaa Boflooooooooooooooooo!
   
 13. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mpaka leo ninashawishika kuamini kwamba wewe ni mmoja wa watu wanaoshiriki huu uchafu katika jamii yetu. Nashawishika kuamini kwamba wewe na jina lako kwenye avatar yako hakuna tofauti, hivyo unatumia JF kufanya promotion ya uchafu wako unaoshiriki. Nashawishika kuamini kwasababu mtu yeyote akifauatilia thread zako humu, siku zote zinaongelea huu uchafu wa ushoga na inaonekana kwamba wewe ni mdau mzuri wa huu uchafu.

  Ushauri: Nenda Ulaya au USA ili ufanye huo uchafu kwa kujiamini kuliko kutuharibia jamii yetu ya kitanzania kwa kisingizio cha CIVILIZATION. Unauita hivyo kwasababu wewe unashiriki huo uchafu? Je, kwako unaona fahari mwanamme mwenzio kukupumulia mgongoni huku ukimkatia kiuno? shem on you for what you are trying to promote here-JF. Why dont you go and talk to your parents/family/pastor/Padre/Shehe about your problem? why do you keep on promoting huu UCHAAFU kila siku katika jamii Forum?

  OMBI KWA MODS: Naomba hizi thread za Boflo zinazopromote ushoga ziwe zinapostiwa kwenye Jukwaa la Wakubwa, ambako atakuwa anashere hizi thread zako huko. Pia kama inawezekana basi mngemwekea huyu Boflo automatic posting kwenye Jukwaa la Wakubwa, kwani hata siku moja hajawahi ongelea mada nyingine tofauti na huu uchafu wa Ushoga.

  MAAMUZI: Kuanzia leo sitafungua tena thread yoyote iliyopostiwa na boflo.
   
 14. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kula hiyo kitu kwani huwa naona kama kakamavu sana kiasi kwamba inahijati uiloweke kwanza.
   
 15. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umenichekesha sana.....
  Umekosa kufaidi, ni mizuri sana mkuu
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Who "certified" them?
   
 17. K

  Kariongo Senior Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Boflo are u a gay?
   
 18. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  of course not, kwanini umuoe sasa, ikiwa bado anaengage, if she leaves it..maybe..maybe then...maybe we will consider thinking if i can marry her...not now please
   
 19. m

  mankind Senior Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  dah mkuu post zako kwenye thread za boflo zinanifurahishaga kinoma yaani ,hata mi nikiona title tu najua huyu atakuwa boflo na nikicheck ni yeye kweli dah,..
   
 20. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  big N and small o.
  Ila jina lako avatar na thread mmmh hivi kwa nini upo hivyo?
   
Loading...