Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Wadada tukubali kuwa kujitoa muhanga kwa maboyfriend ni hatari pia! Msijiachie kihivyo kisa kwao wanakujua! Subiri akupandishe pale mbele za mola! Muwe mume na mke! Hata akikutenda ni rahisi hata kwa mungu kuingilia kati! Lakini sheria tunavunja wote mbele za mungu utaanzaje kwa mfano kumlilia mungu bila aibu
 
ushauri ni kuishi na huyo mwenye mimba yake basi .......

Hapo utakuwa umetengeneza uhusiano usio imara! Maana wakigombana itakuwa sijawahi kukupenda nimekuoa coz of ujauzito! Na wanaume navowaskia atachepuka tu kwa style hiyo! Anyway kazi kwako mkaka! Umelikoroga huna budi kuyanywa
 
Swala la mimba ni huyo baba mtarajiwa kuanza kulea mimba na kumlea mtoto! Swala la kutafuta mwenza wa maisha hayausiani! Ndoa za kuoneana huruma ni mbaya sana!
 
getting married just because you are pregnant is not a good idea and not a good reason for two people to get married. Trust me, I've seen this too many times. So many people have gotten married just because of an unplanned pregnancy. It just doesn't work. Most of these marriages end in divorce.
 
Hapo utakuwa umetengeneza uhusiano usio imara! Maana wakigombana itakuwa sijawahi kukupenda nimekuoa coz of ujauzito! Na wanaume navowaskia atachepuka tu kwa style hiyo! Anyway kazi kwako mkaka! Umelikoroga huna budi kuyanywa

huyo mkaka kalikoroga anywe tena anywe
 
ushauri mzuri kabisa oa wote. Naamini within those six year watakuwa wanafahamiana.

Ila nawe bingwa aisee ngoma zote mbili ubahudumia tu bila kuamia, sijui hata kama unakiwanja.
 
Wadada tukubali kuwa kujitoa muhanga kwa maboyfriend ni hatari pia! Msijiachie kihivyo kisa kwao wanakujua! Subiri akupandishe pale mbele za mola! Muwe mume na mke! Hata akikutenda ni rahisi hata kwa mungu kuingilia kati! Lakini sheria tunavunja wote mbele za mungu utaanzaje kwa mfano kumlilia mungu bila aibu

Ndio hapo tatizo linapokuja kujiaminisha ati unapendwa hahahaaa kuna mmoja anajipa moyo huku anadai ndugu wa mume wanamjua kwaio huyo mwanaume wake hawezi kumuacha bas mimi huwa nacheka sana
 
ushauri mzuri kabisa oa wote. Naamini within those six years watakuwa wanafahamiana.

Ila nawe bingwa aisee ngoma zote mbili unahudumia tu bila kuamua!, sijui hata kama unakiwanja.
 
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda

wanaume wengine bwana nyokoo kabisa.mkipendwa shidaa,mkisalitiwa kwa rafiki zenu ama vijana mnadai ooh mademu wa sikuhizi malaya,mkiachwa kwa ukosefu wa hela hamuachi kusema 'wanawake wa siku hizi wanapnda hela hawna mapenzi kabisa' ssa cjui mnataka wanawake tuwafanye nini.mi ushauri wangu kamtie mimba dada ako maaan na uhakika umekaa nae mda mrefu sana.kama dada ako hakutoshi basi mtie mimba kaka ako,cunapenda kukichezesha bwana kichezeshe kwnye familia yenu.acha kutupotezea mda.
 
Ahi Jamani mpaka familia pia? Dear najua una hasira lakini kumbuka familia yake haikumtuma ufanye hivyo for sure. Naomba tuheshimu familia yake please . Msameheni Jamani namuombea msamaha Niko chini ya miguu yenu naomba mumsamehe, na ninajua inauma ila msiiachie ikafika mbali . naomba tumpe ushauri mzuri please ili ajue nini cha kufanya. My love sister pole kwa kuumia , kwa hii topic lakini tafuta in your heart to forgive and try not put His families in the middle of his mess. Pole kama nimekukwaza dear.Thanks.
 
Jamani mmenishambulia weee. Lakini kiukweli naweza kusema mm ndio mwenye makosa. Lakini kitu kilicgotokea ni kwamba hapa nyuma sikua na maelewano mazuri ambayo yalipeleka kunisaliti na mm kwa wakati uo nikachukua uamuzi wa kua na huyu mchepuko. Lakini baadaye tukaa na kuelewana. Na huyu mchepuko nilikaa nae chini nikamueleza but akunielewa na akafanya jaribio la kujiua. Sasa nikaamua ninyamaze kimya tu.
 
My dear please just keep quiet still una makosa . Hata kama mlikuwa hamna maelwano still ulikuwa na choice ya kuachana nae huyo Wa kwanza kabla hujamtafuta huyo mchepuo . Please dear the more you talk ni kama unajitetea na hawa watu humu ndani Bado Wa hasira na wewe. Hebu jaribu kunyamaza kwanza na hata kama ukiaamua kuja hapa jamvini njoo in humble kwa kuomba msamaha , si keueleza sababu. Kingine kutaka kujiua kwa huyo Dada si kosa lako na lisikufanye uweke maamuzi mabaya ambayo yatakufanya uje kujuta baadae . na kama ulisoma ushauri wangu kuna sehemu nilikueleza kuwa Chukua break kwa wote kwanza ili ujue nini cha kufanya. Na usiweke decision in emotions, kumuonea MTU huruma no weka decision itakayo kawa sahihi . Masalaam. Thanks!
 
Michepuko imeanza muda kumbe me nkajua juzi kati baada ya kibonde na tangazo lile

Michepuko ipo tangu enzi za mababu zetu kwa majina tofauti! Sema siku hizi wadada tumezidi! Kuvua pichu ni very easy siku hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom