Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Naona nyinyi mnaacha ualisia mnawaza mnavyofikiria

uhalisia upi ? wewe kumpa mwingine mimba na kutaka kuishi na mwingine ... kwanza kuwapotezea muda hao warembo ni kosa kubwa sana miaka sita aisee wewe ni wa kupiga
 
uhalisia upi ? wewe kumpa mwingine mimba na kutaka kuishi na mwingine ... kwanza kuwapotezea muda hao warembo ni kosa kubwa sana miaka sita aisee wewe ni wa kupiga

hao wadada wao wana akili za kushikiwa hadi kuishi na mtu miaka sita?
Wewe miss chagga ukiishi na mwanaume miaka sita na hakuna kinachoeleweka utamlaumu nani?
 
Last edited by a moderator:
imebidi nicheke
yaleyale LORD OF RINGS

"You should not brag on the years spent together but the moments both had a smile and not taken for granted"
 
Samahani kama ntawakwaza. Hivi aijawai tokea unapenda wanawake au wanaume wawili. Yaani unawapenda sana???


Dear its impossible to love two people at the same time , I call it a lying. Hata Yesu alijua hilo akatufundisha, huwezi kumtumikia Mungu na Shetani, au Mungu na utajiri wako Lazima utapenda kimoja zaidi ya hivyo viwili . So stop lying yourself and start to make decision soon you have already waste their time , so inatosha . And please take things serious, watu wanakushauri, wanatumia mida yao na nguvu zao so stop being selfish and childish get serious please . Thanks!
 
Naona nyinyi mnaacha ualisia mnawaza mnavyofikiria

Dear hivi una dini Kweli ? Na kama unayo please fuata maandiko yanavyosema , okay . This is not a time for the jokes, God is not a God to play with , including to his own people He created for his own example, be really, man . Thanks .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom