MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,578
- 41,567
na mawe/..
nilifikiri utanipiga mabusu au denda
na mawe/..
Yaani my dear nilishikwa na hasira baada ya kusoma Huu ujumbe. Honestly huyu kaka angekuwa ndugu yangu God knows sijui ningemfanyaje, nilifikiri ni Mimi tuu niliyepatwa na hasira kumbe na wewe pia. Can you imagine 6 years kwa Wa kwanza plus 4 years kwa pili , my dear this is decade , he has been wasted for these two beautiful ladies time and their humble love . Hata kama hii ni tamaa Jamani imezidi. Ms . chagga I feel so sorry for these women for their broken heart, because I know at the end someone will get hurt really hurt, Jesus help these women oh God. Thanks.
nilifikiri utanipiga mabusu au denda
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda
sio shingo kata kikojozi chake ikibidi awaone wanawake kama picha na ikibidi nae ageuke halaaaah.nyambaffffyani mijamaa kama hii ni ya kukata shimgo nyambafu kabisa
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda
Aisee hapana we ni ngumi tu
sasa ushakojolea kule kukajaa ndiyo unaona penye uwazi kuacha hutaki .... acha ufamba wewe mtesaji mnyanyasaji mkubwa wewe mfyuuuu,... wakati unamtia mimba ulikuwa hujui kuwa unamchepuko watu kama ninyi ni wa kunyonga mnatesa watoto na mama zao ... mfyuuu nikusikie tena na ushenzi wako huu... huna haya unataka tukwambie umwache mjamzito uoe mchepuko kkwenda huko huna maana wewe alafu unajiita mwanaume kwenda...
nyie niwakukata vidudu hivyo
na asipate mtoto tena nalaani mbegu zako ziwe tasa na kila zinapoingia kwenye uzazi zigeuke maji ya chumvi ...Sonyo hili halijakolea ngoja niongeze: nyooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!! Na kikojoleo chako mtoa mada kishindwe na kilegeee kisisimame miaka 10 uliyotesa watoto wa watu. Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
acha ukali wewe
mkali simba na anazaa
mkali sindano ila hafanyi kazi bila kutiwa kwa nyuma
sembuse wewe miss wangu
nb:kutiwa kwa nyuma ni uzi
Dear yaani kusema Kweli umeniuzi sana, sana tena sana. How can you do this? These women are innocent kwa hiyo tamaa iliyokushika miaka yote . Kwa Kweli ungekuwa karibu yangu sijui ingekuwaje God knows. Anyway yameshatokea so what are we going to do now, please listen to me careful very careful .Kwanza nikupe pole ingawaje nina hasira na wewe, still umedeaserve kupewa pole. Pili bila yi waste more time weka maamuzi haraka iwezekanavyo muda uliwapotezea hawa wadada ni mrefu sana na unatosha kwa Kweli. Maamuzi utawekaje? Kaa chini jipe break hakuna kukutana nao kimwili tena . Jiulize yupi ambaye anakufaa kati ya hao Wawili . Nikisema anayekufaa namaanisha chaguo la kutoka moyoni mwako, kwa hakika kama wewe ni mkristo huwezi kuwaowa wote na kama ni mwislam na unawapenda wote dear inabidi uongee nao wote kama wataweza ukewenza , na since umesema wote wanataka kuolewa na wewe. ukishajua ni nini unataka maishani mwako baada ya hiyo break uliyochukua na kama ni mkristo you have to come clean dear by telling the truth . Kama umeona huyo aliye na ujauzito wako hakufai kawa nae chini kwa utulivu, mueleze yote bila kumpa yeye lawama ,or bila kumfokea kumbuka wewe ndio mwenye makosa kwa sasa. And I know with all my heart it will not be easy than you think, but not way out ,someone deserve to hear the truth . Huyu Dada mjamzito itamuuma sana kuliko yule mwingine Wa pili, you know why? Because first you cheated on her, upi pregnated her, you lied to her, and you waste her 6 years for nothing . Huyu Wa pili pia itamuuma sana honestly kwa sababu kama likija swala la kutomuowa, and kumpotezea muda.
My do not move with emotions utakapoweka maamuzi. Na ndio maana nikasema Hakuna kukutana nao kimwili hawo wadada anymore mpaka ujue solution ya tatizo lako. Naomba yeyote utakayemuacha plead her for the really forgiveness because trust me their tears will Hunt you back soon or later. Hata na yule utakayekuwa nae please tell her the truth about your past and reassure her that it will not be happen again, and you better mean it for what you will tell her, and keep your promise .
Please katika Haya yote usikose kumshirikisha na Mungu kwa toba, funga,na maombi kama endapo kutakuwa na kifungo chochote kitakachokuwaza baadae maishani mwako kwa hili tukio ,Mungu akakifungue ,kwa kuwa yeye ni mwingi Wa rehema na Neema tele. Hebu naomba tuwasikilize na wengine watasemaje. Good lucky. Thanks!
hata kiokote anaafadhali huyu ni panya kunusa kila pango .......punguani kabisa hana hayaWewe hutofautiani na kondoo .. hujielewi .... huna haya hujui vibayaa ...bila aibu eti nina wa miaka 6 na mi4..... kwahyo tukupongeze au?
Peleka utaahira wako huko .... kiokote wew
sio shingo kata kikojozi chake ikibidi awaone wanawake kama picha na ikibidi nae ageuke halaaaah.nyambaffff
hata kiokote anaafadhali huyu ni panya kunusa kila pango .......punguani kabisa hana haya
lazima niwe mkali mnatuendesha mno nyambafu