simsamehe hata kidogo huyu mnyanyasaji
hakuna cha shetani hapa kwani alimwekea P.O.P ili isimame si aliweka akili na mwili ikasimama yenyewe na akakojoa akapata raha leo hii eti shetani kamzidi shetani shwaini huyu mfyuuuu
Mwanamke wa kweli ni yule mwenye msimamo haya mambo ya shake well before use yanaingiza chaka wadada wengi! Na kama ni nyege zinakusumbua fanya ila at your own risk!
Sasa umishampiga chata ndo unasema? fuata kile roho yako inapenda, lakini kumbuka laana huwa zinaanza hivi! huenda mchepuko wako hazai, au akakusumbua sana baadae ukamkumbuka huyu uliyezaa naye.
Nafikiri hujawahi kutendwa wewe. Miss Chagga Nisaidie hapa.
Nafikiri hujawahi kutendwa wewe. Miss Chagga Nisaidie hapa.
Sijawahi kweli kutendwa na mungu aniepushie hii kasoro ya kujitoa kwa men! ila nimeshuhudia ndugu zangu na marafiki wengi wakitendwa na kustudy kesi zao nimejifunza kuwa msimamo ndo mpango mzima kwa wadada! Hakuna jipya! Na huyu mkaka anastahili kupigwa bakora ila mdada awe fundisho kwa wadada wenye huruma kwa maboyfriend! Tunaogopa kuwatosa maboyfriend tunaogopa upweke!
Ushauri plz. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mm kwao najulikana. Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4. Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mm. Na mm roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda
Ukiwa na misimamo ya mufa mtu!!! utatendwa saa ngapi!
labda usiolewe kabisa mamy... ila ukiolewa unaweza tendwa ukiwa ndani ya ndoa ....
sasa ushakojolea kule kukajaa ndiyo unaona penye uwazi kuacha hutaki .... acha ufamba wewe mtesaji mnyanyasaji mkubwa wewe mfyuuuu,... wakati unamtia mimba ulikuwa hujui kuwa unamchepuko watu kama ninyi ni wa kunyonga mnatesa watoto na mama zao ... mfyuuu nikusikie tena na ushenzi wako huu... huna haya unataka tukwambie umwache mjamzito uoe mchepuko kkwenda huko huna maana wewe alafu unajiita mwanaume kwenda...
nyie niwakukata vidudu hivyo
kama ujawahi my dear acha tuwaadhimu kwa maneno makali wasikie .... ni viumbe hatari sana
Nikitendwa ndani ya ndoa ni isssue nyingine tena inarekebishika tofauti na kutendwa uchochoroni
Lets be realistic! Kaja kuomba ushauri mpeni madongo yake ila naushauri mpeni basi! Mimi upenda kubalance matters! Wote wanamakosa! Tujifunzemo miss chagga!