everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
na asipate mtoto tena nalaani mbegu zako ziwe tasa na kila zinapoingia kwenye uzazi zigeuke maji ya chumvi ...
Mtoa mada sikiliza sana ushauri wa loveissweet utubu kabisa la sivyo hizi laana zote zitakupata. Yaani tumekasirika sana 10 years ungekuwa karibu sijui tungekufanyaje,badilika kabisa la sivyo utakuja vuna haya.
Last edited by a moderator: