Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Wote wanatarajia kuolewa na mimi Nifanyaje?

Wadada wengine bhana, utabebaje mimba ya mtu asiye mumeo?
unakubalije kuwa katika mahusiano miaka sita bila matunda, na wewe umejiweka tu humo?
Very stupid indeed......!
 
Haya bana. Inaelekea wewe yashakutokea haya. Pole bwana kwa kurusha jiwe gizani
 
Michepuko ipo tangu enzi za mababu zetu kwa majina tofauti! Sema siku hizi wadada tumezidi! Kuvua pichu ni very easy siku hizi

asa najaribu kutafakar majibu hayaji huyu mchepuko wa miaka m5 ana mpenz mwingne au ndio huyu huyu
 
Wadada wengine bhana, utabebaje mimba ya mtu asiye mumeo?
unakubalije kuwa katika mahusiano miaka sita bila matunda, na wewe umejiweka tu humo?
Very stupid indeed......!

hata mi nashangaaga sana miaka 6 ? kama ni mtoto yuko la pili
 
kwa hiyo unataka kumwambia afanye nini ?/ kama alikuwa hampendi kilichokuwa kinamfanya akakojoe kavu kavu alikuwa natoa maji pale? yani wapuuzi kweli ninyi kusimamishia kila shimo mnaona raha... uliambiawa kule ndani kuna swala unrusha mishale yako tu toka huko

huyo mwanamke nani alimwambia afungue miguu yake wakati hajaolewa? alidhani anawekewa mafuta? au alitegemea kitakachofata baada ya tajiri kichwa wazi kumtembelea ni nini?

they are all to blame ila linapokuja swala la kutafuta furaha usiendeshwe na matukio
 
selfish....
 
dah...mi naona hata ushauri huitaji..jibu unalo tayari,hilo ni pepo mkuu:angry:
 
Ushauri please. Nina mwanamke ambaye kwa sasa ni mjamzito na wanamjua kwetu pia hata mimi kwao najulikana.

Nina miaka nae 6 lakini nina mchepuko wangu wa ukweli nae nina muda nae miaka 4.

Sasa tatizo nashindwa fanya maamuzi ya kuoa wote wanataka kuolewa na mimi.

Na mimi roho yangu kumuacha huyu mchepuko wangu roho inauma. Dah nipo njia panda

Kwa amani na utulivu wa moyo wako ishi nao wote,oa mmoja na anayebaki chepuka nae
 
Samahani kama ntawakwaza. Hivi aijawai tokea unapenda wanawake au wanaume wawili. Yaani unawapenda sana???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom