Wote waliokopa heslb inawahusu!

Wote waliokopa heslb inawahusu!

Msabaha lk

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
84
Reaction score
21
Dr Jakaya Kikwete (mh.) rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wote waliokopa mkwanja kutoka heslb(bodi ya mikopo) wanapaswa kurudisha ili watoto wengine wa wakulima waendelee kunufaika na mabilioni hayo. Ameyasema hayo alipokuwa chuo kikuu cha kiislam cha morogoro. Pia amedokeza kuwa sirikari imetenga mkwanja mwingine kiasi cha bil 346 kwa ajili ya watanzania 98 elfu watoto wa wakulima. Ovaaa!
 
siku zote kauli za wanasiasa ni tamu
 
Hana jipya huyo kwani mbona hasemei waliokula MABILIONI YA KIKWETE ambayo zilikuwa ni hela za walipa kodi,anakuja kuzuga kwa watu wasiokuwa na matatizo,hili hata kama asingesema watu watalipa coz utaratibu uliwekwa kuwa wahitimu waliokopa hizo hela wataanza kukatwa/ kurudisha hela hizo baada ya mwaka so yeye anaingilia nini au ndo anaonyesha ni jinsi gani alipata udokta???????????
 
Hana jipya huyo kwani mbona
hasemei waliokula MABILIONI YA KIKWETE ambayo zilikuwa ni hela za walipa
kodi,anakuja kuzuga kwa watu wasiokuwa na matatizo,hili hata kama
asingesema watu watalipa coz utaratibu uliwekwa kuwa wahitimu waliokopa
hizo hela wataanza kukatwa/ kurudisha hela hizo baada ya mwaka so yeye
anaingilia nini au ndo anaonyesha ni jinsi gani alipata
udokta???????????

Mi silipi na waende popote,mbona wao hawawashughulikii mafisadi wanadili na cc mayatima
 
Dr Jakaya Kikwete (mh.) rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wote waliokopa mkwanja kutoka heslb(bodi ya mikopo) wanapaswa kurudisha ili watoto wengine wa wakulima waendelee kunufaika na mabilioni hayo. Ameyasema hayo alipokuwa chuo kikuu cha kiislam cha morogoro. Pia amedokeza kuwa sirikari imetenga mkwanja mwingine kiasi cha bil 346 kwa ajili ya watanzania 98 elfu watoto wa wakulima. Ovaaa!
Ile ni haki yangu, siwezi kurudisha.wao kina Kikwete hela walizosomeshewa Chuo Kikuu miaka yao washazilipa??
Tunaambiwa kwa wastani kila Mtanzania anadaiwa Tshs 450,000/=, sasa lazima kuwe na "consideration" kwenye hili deni.
 
Inamana yuuze mashamba ya bibi zetu ndo tuzilipe, anajua kua tunatafta hata hela ya kula amepata wapi ujasiri wa kututolea kejeli si mojobles??
 
Huyu mzee akanyamze kabisa maana asije kudhani kutuongoza ama kama yeye anavyodai kututawala asidhani anatuzidi akili, angekuwa anatumia kichwa kufikilia angefikiria waliokopa heslb wako wapi muda huu wengi tunakula vumbi mtaani alafu analeta kejeli zake na littoto lake liz na walaaniwe kabisa!
 
Rudisheni mkwanja huo au 2waletee majembe auctin mart wazee wa kazi wafanye ambush. Si mnawajua msako wao sako la nyani ngedere haponi
 
Dr Jakaya Kikwete (mh.) rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wote waliokopa mkwanja kutoka heslb(bodi ya mikopo) wanapaswa kurudisha ili watoto wengine wa wakulima waendelee kunufaika na mabilioni hayo. Ameyasema hayo alipokuwa chuo kikuu cha kiislam cha morogoro. Pia amedokeza kuwa sirikari imetenga mkwanja mwingine kiasi cha bil 346 kwa ajili ya watanzania 98 elfu watoto wa wakulima. Ovaaa!

Mimi kazi sina, mkwanja sina na demu wangu kanitosa. Sa nitapata wapi hiyo pesa ya kurudisha? Liwalo na liwe!
 
Ndo uzuri wa kufanya kazi bila malengo. Mfano kama ulikuwa na saccos 4 katika wilaya ukapata saccos 36 baada ya miaka 10 unakuwa umepata asilimia 900.
 
Kwanza atuambie waliokopa mabilioni ya JK wamerudisha wangapi na kiasi gani?
 
watayarudisha tu, ili mfanye matumizi menu ya safari...
 
mpka nisikie ridhiwan amelipa maana nakumbuka mwanahalisi iliwahi kutoa jina lake kuwa hajalipa pia yule binti wa mukulu aliemaliza muhimbili kama sikosei nae hajalipa
 
Last edited by a moderator:
waliopata ajira c zaid ya 10%. je watapata wp hela za kulipa?
VASCO na serikali yake iache kwanza matumizi mabaya ndo waje kutudai hela za HESLB.
WA ARE TIRED WITH THIS ROGUE GOV'T
 
hakuwa na sababu ya kusema hayo yote kwa sababu kama ulikopeshwa unapaswa kulipa iwe kwa kupenda ama kutopenda.
angekuwa anamaanisha anachosema angeliangalia hilo li taasisi na kuhakikisha linakuwa bora kuweza kuwa na kumbukumbu za wadaiwa zilizo vizuri, na kuwa na mipango na utekelezaji mzuri wa namna ya kukusanya hayo mahela kwa wadaiwa.

helsb wenyewe hawajielewi, wamejishindwa na hii ni tatizo kubwa kwao na hao wanafunzi wanaotarajiwa kunufaika kupitia bodi hii. itakuwa inakopesha tu lakini makusanyo ni majaliwa ya mwenyezi mungu.
 
Mi nafikiri hajakosea kwa alilolisema ila inabidi afikirie namna ya kuwawezesha wadaiwa kiuchumi ili wajengewe uwezo wa kulipa madeni yao. Bila hivyo, kurudisha itakuwa vigumu kwani maisha ni magumu, mtu hana hela ya kula sembuse ya kulipa deni!
 
Back
Top Bottom