Wosia msibani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wosia msibani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Sorrow to Joy, Mar 17, 2012.

 1. Sorrow to Joy

  Sorrow to Joy JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jamaa alipewa mic msibani ili aseme machache na alipopewa akaanza hivi
  1. Msiba oyeeeeeeee
  2. Maiti safiiiiii
  3. Jeneza safiiiii
  3. Sanda safiiiiii
  4. Amependeza hajapendeza??????
  5. Haya mwenye wivu na yeye akufe kama alivyokufa huyu rafiki yangu
   
 2. P

  Praff Senior Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du, marehemu anaweza kufufuka kwa mtindo huo.
   
 3. w

  wa home JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  walikosea kumpa mic baada ya kushiba, ndo maana alichangamka hivyo, angekua na njaa angekua mpole.
   
 4. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Atakuwa alikuwa mwanapropaganda wa magamba loh, kali kweli
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  maiti safiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  Kanywa maji yaliofuliwa bendera ya chama (ccm) !
   
 7. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ebana noma hyo alikuwa kanywa dompo wine
   
 8. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,735
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huyo takuwa amepiga zile za kwa mama kayayii. kama zile kule kenya kuna wakati wanywaji waliomba taa ziwashwe mchana wakifikiri ni usiku
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  duh nadhani hata maiti ilishtuka
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mc washerehe kumpa shughuli ya msiba ndio asara yake hiyo.
   
 11. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  umenikumbusha juzi kati mgombea wa ubunge arumeru mashariki kupitia CCM alisema hiyo msiba hoyeee. . . . Kichaa kweli
   
Loading...