Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

Boss Mimi binafsi nampongeza Mhongo kwa maamuzi aliyofanya, hata kama ni kwa kushinikizwa lakini ametekeleza kile ambacho bunge lilipendekeza na ambacho wananchi walikuwa wanakisubiri kwa hamu. Ni moja ya uzalendo na uwajibikaji. Ni mategemeo yangu kuwa waliobaki au walioingia upya katika nyazfa mbali mbali wamejifunza kutoka sakata hili la escrow. Kinachonikera ambacho bado sijapata majibu yake ni fedha hizo zilizopotea, zitarudije ili ziwafae maskini vijijini na wanafunzi wanaokosa hadi chaki ya kuandikia kama hatujataja madawati ya kukalia?

Mnafiki huyu, mpaka rais kamuwekea mashushushu wamegundua ana billions of shillings kwa account yake ya siri ndio akatonywa ajiuzulu mapema kwasababu habebeki.
 
Ndio ya Muhongo leo, alijua fika kuwa anapigwa chini na mawaziri wapya wameitwa kuapishwa, akawahi kuitisha press conference kabla ya muda wa Ikulu kuzuga kuwa amejiuzuru. Tujiulize, je asingejiuzuru angebakia kwenye baraza jipya? Je hao mawaziri wapya walioapishwa walipewa notice ya masaa manne kati ya kujiuzuru Muhongo na kuapishwa kwao?

Rais anapoteua au kumuwajibisha waziri huwa anatoa taarifa rasmi kwa mtu husika kabla....

Hivyo Muhongo alishajua hatma yake pengine siku kadhaa kabla hata ya kikao chake leo au kikao kile cha ikulu...

Suala la yeye kuweka kikao ni mbinu tu ya kisiasa na pengine ni makubaliano baina ya Rais na Muhongo, ili tu asionekane kafukuzwa kazi.
 
prof. yuko safi na anajua nini kakifanya kwa tz na bado anamchango mkubwa dunian anahitajika pia nakuombea prof.mhongo
Tanzania haijawahi kuwa na prof.muhongo muhuni na mwongo kama huyu muhuni mwenzake muhongo.
 
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni! Mimi binafsi namkubali Muhongo ktk utendaji kazi, nimeona mabadiliko makubwa toka achukue wizara in terms of kupungua kwa mgao wa umeme na Tz maeneo yenye mwanga yameongezeka kwa kiasi kikubwa!! Tunapoangalia 'mabaya' yake, tujaribu kuangalia na kukumbuka na mazuri pia!
 
Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.

Dude you can not invent a car or computer; vilishavumbuliwa kitambo! so we don't have to copy & paste the Norwegian model, kufanya hivyo kwa Muongo ilikuwa na agenda ya wizi na ufisadi kwa tafsiri yoyote; ambayo ilikuwa ni sababu kubwa ya kauli zake za kifedhuli kwa wananchi, Anyway he is gone; Good riddance, believe me you; inch by inch, we shall tear to shredds mikataba yote ya kifisadi, yote! It is a matter of time like it took for Muongo to GET IT and resign; if he was not pushed anyway!!
 
Muhongo uwezo wake ni mkubwa sana wa kufikir lkn shida ilikuwa kwa bosi wake maana bosi kila kashifa yupo unafikir muhongo angefanya nn
 
Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.

Kwa mfano huo hapa Tanzania hebu dokeza kuhusu usomeshaji wa wataalam na kufungua japo chuo cha mambo ya gesi..mkakati ulikuwepo kwenye mipango ya purofesa?
 
Gesi itamnufaisha Mengi na yule mjukuu wake aliemuoa klyn
 
Bila shaka huyu Profesa Muhongo ndiye profesa muongo aliyepata kutokea katika mhongo huu,alisimama mjengoni kwa muda wa saa moja kubwabwaja uongo akiuita utetezi wa serikali,alienda mbali mpaka kamsemea uongo mzalendo Godwin Ngwilimi ambaye alienda Malaysia kwa maelekezo ya AG kufuatilia uuzwaji wa hisa za Merchmar Corporation.
Kama alivyosema Ngwilimi kuwa kuna siku ukweli uadhihiri ndio sasa picha inaanza.

Home
 
Kwa mfano huo hapa Tanzania hebu dokeza kuhusu usomeshaji wa wataalam na kufungua japo chuo cha mambo ya gesi..mkakati ulikuwepo kwenye mipango ya purofesa?

Kuna watanzania kibao tu wapo Trondheim na Stavanger University huko Norway. Pia kuna watanzania kibao tu wanasomea uhasibu wa mafuta na mlimani kwa mfano kuna intake ya wahasibu, hr, marketing itafanyika karibuni sema logistic hazijakamilika, hiyo yote ni Muhongo!
 
Dude you can not invent a car or computer; vilishavumbuliwa kitambo! so we don't have to copy & paste the Norwegian model, kufanya hivyo kwa Muongo ilikuwa na agenda ya wizi na ufisadi kwa tafsiri yoyote; ambayo ilikuwa ni sababu kubwa ya kauli zake za kifedhuli kwa wananchi, Anyway he is gone; Good riddance, believe me you; inch by inch, we shall tear to shredds mikataba yote ya kifisadi, yote! It is a matter of time like it took for Muongo to GET IT and resign; if he was not pushed anyway!!

No you are dead wrong dude! Norwegian model, Saudi arabia model, Qatar model etc are all functioning well! You cannot allow a private dude like mengi to drive the gas and oil industry. People like mengi don't have public interests except to enrich themselves and their own future generations. We need ownership that will benefits everyone from the bottoms. It's only if you don't know how the world oil giants operates then you won't get me.
 
Nabii hakubaliki kwao, nenda kafanye yako huko majuu!

Hata akienda huko majuu atafanya kazi za kitaalam siyo siasa.. siasa ni ya wanasiasa..
hata sisi tunamhitaji sana bt sio ktk siasa
 
Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.
Kuna watu humu jamvini kuwaelewesha ni kupoteza muda tu coz' wengi wao ni bendera fuata upepo na wala hufahamu wenyewe kwenye haya mambo hawana!
 
Tumekusikia na ukweli mtupu hii rasilimali akipewa mtu binafsi awe mengi awe nani kwa njia za upendeleo sidhani kama watu wataelewana.
Bado naamini ccm itaendelea kutawala miaka 100 mingine .
Afadhali huu ufisadi wao kuliko jini tusilo lijua kuja kilimanjarosation gas na mafuta ya nchi ya kusini hapo yalofukia kuwa na sudan mbili hayata epukika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom