mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 636
Huo ujenzi wa bomba la gesi bora wangekabidhiwa dawasco au duwasa tungeokoa mamilioni
Duh ivi unazani installation ya gas kama maji?
Huo ujenzi wa bomba la gesi bora wangekabidhiwa dawasco au duwasa tungeokoa mamilioni
Anyway Goodbye Muhongo! sijui wizara ya nishati na madini kuna mzimu gani?
Mwivi mkubwa huyo..akafie mbele..dalali tu hana maana atupishe
kwamba heri kuwatajirisha wageni kuliko watanzania wenye gesi yao? nilizima watanzania washiriki kikamilifu kuanzia hatua ya kwanza ya uendelezaji wa miradi ya gesi hata kwa partnership na makampuni ya nje zaidi ya hapo yatakuwa Yale Yale ya madini. tujifunze jamani.Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.
kwamba heri kuwatajirisha wageni kuliko watanzania wenye gesi yao? nilizima watanzania washiriki kikamilifu kuanzia hatua ya kwanza ya uendelezaji wa miradi ya gesi hata kwa partnership na makampuni ya nje zaidi ya hapo yatakuwa Yale Yale ya madini. tujifunze jamani.
Dude you can not invent a car or computer; vilishavumbuliwa kitambo! so we don't have to copy & paste the Norwegian model, kufanya hivyo kwa Muongo ilikuwa na agenda ya wizi na ufisadi kwa tafsiri yoyote; ambayo ilikuwa ni sababu kubwa ya kauli zake za kifedhuli kwa wananchi, Anyway he is gone; Good riddance, believe me you; inch by inch, we shall tear to shredds mikataba yote ya kifisadi, yote! It is a matter of time like it took for Muongo to GET IT and resign; if he was not pushed anyway!!
Kaiba nini?
Sasa kama uyu anawajibishwa kwa nini Raisi na yeye asiwajibishwe maana kauli ya muhongo ni kwamba pesa ya ESCROW sio ya Serikali na Rais amesema ile pesa sio yetu yani kwq lugha nyingine hakuna pesa iliyoibwa, tena kasema mbele ya UMMA, unaposema ameiba ndo sielewi wakati Raisi kasema pesa sio ya UMMAKachota hela za escrow - through act of ommission. Mabilioni yanachotwa kutoka Bot yeye anakodoa tu mimacho?
Kwa tunaoelewa mambo Muhongo yupo sahihi. Norway ilipopata mafuta haikukabidhi wazawa kuendesha uchimbaji, ilileta wa USA, ila ilichokifanya ni kusomesha watu wake (pia kufungua vyuo vya Trondheim na Stavanger university) ili kusomesha wataalam. Ilichokifanya ni kuwa na umiliki kupitia serikali. Ilipofika kipindi wakaona labour force inatosha waliwafukuza wa USA na serikali kupitia STATOIL wakaendea na uchimbaji na wazawa wanachofaidi ni supporting industries (mfano vyakula, repairs za mitambo, ulinzi etc). Hiyo model iko pia uarabuni etc. sasa kwa nchi kama Tanzania hao akina mengi hawana ubavu na niwabinafsi. Model ilioichukua serikali ni sahihi, na uzuri mikataba ilishatiwa sahihi hakuna wa kubadilisha.
homgera muhongo, tz ni ya kuongozwa na wajinga cyo wataalam!Cv ya muhongo itaendelea kuwa juu na kazi yake ya kutukuka itakuwa palepale.
Tatizo la dhahabu ni uhuni wa mzee mkapa na genge lake.
Kwanza kabisa kipindi cha kuruhusu uchimbaji wa madini tanzania hatukuwa na wataalam ( hata waliokuwepo hawakuwa na experience na wachache). Kosa lililofanyika na serikali ni kuacha kusomesha au kuwapeleka wataalam kupata ujuzi, kwa maana nyingine hapakuwa na succession plan, hatukuwa na wakaguzi waliobobea kwenye madini (nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja alipata kazi ya ukaguzi wa madini wakati yeye ni mkaguzi wa kawaida tu hakuwa na utalaam wa madini).
Pili serikali iliwaamini sana wazungu kupitia rushwa na akina mzee mkapa wamelamba sana. Na kibaya zaidi serikali haikuwa na mtu mwenye uchungu na maliasili zetu yaani mpaka bungeni.
Ila Muhongo mchango wake mkubwa ni kuacha hiyo successsion plan na kuwezesha umiliki wa mafuta na gesi mikononi mwa serikali kupitia shirika lake.
Madini hata tukisema leo tupewe sidhani kama tunaweza jiendesha kwani waziri wa enzi hizo alikuwa mbumbu hakujua cha kufanya ili kutengeneza successsion plan.
Jamani mbona Watanzania tunachepuka kiasi hiki?? Hivi ni kweli hatujui kilichomwondoa Muhongo??
Hivi Mengi anaweza kushawishi TAKUKURU, CAG, PAC, Wabunge wote na wa CCM pia, na hata wafadhili?? Ana nini huyo Mengi? Au kashfa ya ESCROW ni ya kugushi? Sasa kama AG na waziri aliyepewa pesa za ESCROW wote wamejiuzulu kwa kashfa hiyo ya ESROW Account, kwa nini aliyeidhinisha uchotwaji wa hizo pesa yaani Muhongo asingekuwa wa kwanza kujiuzulu??
hana lolote sasa hivi ndo anajifanya kuwa na uchungu na rasilimali za nchi... aende uko..
Jamani mbona Watanzania tunachepuka kiasi hiki?? Hivi ni kweli hatujui kilichomwondoa Muhongo?? Kukataa kuuza vitalu kwa wazawa kunahusishwa vipi na kuachishwa uwaziri? Yeye kaachishwa au kajiuzulu uwaziri kutokana na kashfa ya Escrow Account. Kwa nini tutafute visingizio wakati hali ni nyeupe kabisa? Halafu inasemekana Mengi aliyepingana naye kuhusu uamuzi wa kutouza vitalu ndiye eti aliyeshinikiza Muhongo kuhusishwa na hii kashfa ya escrow!! Hivi Mengi anaweza kushawishi TAKUKURU, CAG, PAC, Wabunge wote na wa CCM pia, na hata wafadhili?? Ana nini huyo Mengi? Au kashfa ya ESCROW ni ya kugushi? Sasa kama AG na waziri aliyepewa pesa za ESCROW wote wamejiuzulu kwa kashfa hiyo ya ESROW Account, kwa nini aliyeidhinisha uchotwaji wa hizo pesa yaani Muhongo asingekuwa wa kwanza kujiuzulu??