World's most viewed photo.

World's most viewed photo.

Joined
Jul 8, 2013
Posts
94
Reaction score
25
This is the world's most viewed photo.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376032045795.jpg
    uploadfromtaptalk1376032045795.jpg
    37.6 KB · Views: 1,547
Basi toka hujue kukuza picha imekuwa balaa mwaJ. Mi kwangu Copy URL haiji napata taabu kuona kwako somo limeeleweka kwangu bado.
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwako somo limeeleweka kabisa na mtihani unapata 100% tongi. Sasa kwangu nikilaiti kiliki Copy URL haiji zinakuja vitu vingine kabisa. Sasa sijui komuputa yangu?
 
Last edited by a moderator:
Yaani kwako somo limeeleweka kabisa na mtihani unapata 100% tongi. Sasa kwangu nikilaiti kiliki Copy URL haiji zinakuja vitu vingine kabisa. Sasa sijui komuputa yangu?

Hata mimi copy URL haiji ila nicopy image nikaja nikapaste, jaribu
 
always nikiiona na wish niwe hapo kwenye hiyo hill na observe hayo mawingu
 
Hapo pouwa sasa ngoja wabandike picha nyengine kwanza, hii si mshafanyia majaribio nyie tongi
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwaJ hiyo avatar ndivyo ulivyo au nina imagination mbaya kwako tuu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom