The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
- Thread starter
- #21
Lol...sidhani maana ingekuwa hivyo mbona balaa lake lingekuwa si kidogoHivi mpaka "naniliu" nayo inakuwa kubwa/na misuli on a proportionate basis?
Lol...sidhani maana ingekuwa hivyo mbona balaa lake lingekuwa si kidogoHivi mpaka "naniliu" nayo inakuwa kubwa/na misuli on a proportionate basis?
walikuwepo baba collinsNingefurahi sana kama hawa jamaa wangekuwepo Africa kipindi cha ujenzi wa reli,wangesaidia sana kuinua mataruma ya reli.
Bongo mambo ya fitness bado sana...uelewa ni mdogo!
Protein supplements watu wanadhani ndo anabolic steroids na human growth hormones. Kaazi kweli kweli.
Hivi mpaka "naniliu" nayo inakuwa kubwa/na misuli on a proportionate basis?
Hili suali Ngabu linamhusu 
I wonder why that question got your attention :lol: