"I'm so wonders kwa kweli yaani nimeshangaa"-Vincent Kigosi
Very interesting hasa hiyo nyumba iliyodidimia/zama huyo jamaa ndo bonge la mbunifu(according to me)
Hujanipa hata statue moja ya USSR, kule ndio zilipozaliwa na zipo nyingi sana na kubwa
Huwa wanazazimishwa kuongea lugha ya malikia?
posta dar es salaam tanzaniaNa sisi tunaringia sanamu yetu....
![]()
me eitherHadi leo siamini kuna kitu kinaitwa illuminati.
posta dar es salaam tanzania