Worlds most creative statues.

Worlds most creative statues.

"I'm so wonders kwa kweli yaani nimeshangaa"-Vincent Kigosi

Very interesting hasa hiyo nyumba iliyodidimia/zama huyo jamaa ndo bonge la mbunifu(according to me)

Hata mimi nimeipenda pia.
 
The Horse Tamers statue in St. Petersburg, Russia
one-of-the-four-horse-statues-on-anichkov-bridge-in-st-petersburg.jpg

The Motherland Calls, Tallest Statue In Russia
Motherland-Calls-5-830x450.jpg

Thank you kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Childish idea...[/QUOTE

That's my idea sir!

Yeaah some of them kaka zimekaa kiiluminatics afu kila black statue hapo eti wameweka wameiterm kama ghost...that ain't fair!

Ila nimependa ile ya library ina sink, that's magnificent creation thought!.

Ndugu yangu haya mambo ya illuminati mengi ni ya kufikirika na uzushi uzushi na stori za kwenye kahawa.
Kama huamini wewe fanikiwa nunua gari mbili tatu utasikia watu wanaanza kukuita freemasom wakati uli struggle vya kutosha
 
Read my post 👆👆👆👆👆

nimeisoma nikagundua kuwa kulikuwa na perceptions mbili kwenye tafsiri moja wakati jamaa akiongelea hizo sanamu kama alama za illuminant kwa nia njema kabisa wewe ulichukulia wayasemayo watu wa mitaani ambao hapa sio valid
 
Mshana hapo sijakuelewa.
Hivi una jua hizo statue zingine ni za zamani sana ? Ka ukisoma world history na kila statue ina maelezo ya kwa ni kwa nini waliamua kuijenga.
In short, bado sijaelewa vizuri tunachopingana, but my view is hakuna ststue hata moja inayo husiana na illuminat
 
Nafikiri hatupingani bali tumekuwa na mitizamo tofauti kwenye kitu kimoja Saint Ivuga kuna baadhi ya statues hapo zina connection na illuminant na pia kumbuka illuminant nayo sio ya jana au juzi hebu soma kuhusu luciferianism, nina post moja kule jukwaa la dini hebu tembelea nitakutag kama una access ya kuingia kule

Mimi labda nilichotofautiana nawe kidogo ni ile myth ya illuminant/freemason kwa mtazamo wa mitaani
 
Hadi leo siamini kuna kitu kinaitwa illuminati.
 
Back
Top Bottom